Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kozi mwana mandanda.................,ukiona zinduna................,bura yangu si..........

1. Mkuu daniel don, naona hii ya 1 haijakaa sawa.!! (au munasemaje G-THINKERS!)
2.Ambali aja.
3.Badili na rehani.

Nimepata?
 
Last edited by a moderator:
kitendawili . . . mwalimu kaanguka wanafunzi wanashangilia!!!!!
 
Kitendawili........... kengele mbili zimeungana na fimbo
 
Back
Top Bottom