Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Hicho mkuu ni kitendawili jawabu lake KISIMA
Lakini muuza ugoro nafikiri ukitoa msamiati usimalize ili mdau ajibu
Mfano Mficha uchi.....? baadae jawabu HAZAI.
Sasa na mimi natuma vya kwangu
Kitendawili..?
1. kuku wangu kalalia mibani? ......

Methali:
Mwenda tezi na omo?..............
 
Najibu:
Mwenda tezi na omo_ marudio ngamani.

Kuku wangu kalalia mibani...Nanasi!

Malizia methali: dunia hadaa .....
 
Jamani hii sijui niitaje,"Ana nne,yuko juu ya nne na anangoja nne".Mwenye kujua jibu anijibu.
 
Simba mwenda pole...iko gonjwa kama si gonjwa basi ******* 🙂
Mtaka cha uvunguni...Pindua tanda taona 🙂
Asiyesikia la Mkuu...chapa yeye 🙂
 
futi kafutika futi,na futi kafutika futi na futi kafutika futi.kitendawili hiki
 
Umepata
Najibu
Dunia hadaa - Ulimwengu shujaa.

Tunaendelea

Kitendawili: Hogo haliogoki ila kwa hogo lenzake....

Methali: 1. Baniani mbaya .............
2. Hamna hamna..............
 
Niaje Great thinkers? Munaonaje tukajikumbusha methali, nahau n.k coz nina hofu zinaanza kutoweka gradually!
Kwa kuanzia natoa methali híi:
Kombe la mungu liwazi.
Nasubiri majibu wakuu!
Then, kama unazo basi lets share.

The bark of yesterday sugar-cane is like a whole harvest for an ant.
 
tumbi tumbi...............
mm nyumba ya udongo.......................
chanda chema........................
 
Hicho mkuu ni kitendawili jawabu lake KISIMA
Lakini muuza ugoro nafikiri ukitoa msamiati usimalize ili mdau ajibu
Mfano Mficha uchi.....? baadae jawabu HAZAI.
Sasa na mimi natuma vya kwangu
Kitendawili..?
1. kuku wangu kalalia mibani? ......

Methali:
Mwenda tezi na omo?..............

Kama ameenda na tez na homo basi aje achukue na sabuni.
 
tumbi tumbi...............
mm nyumba ya udongo......Basi utakuwa wakale.................
chanda chema..........Ndiyo huwa chandaruwa..............

Tumbi tumbi mtimbue>##
 
tumbi tumbi...............
mm nyumba ya udongo.......................
chanda chema........................

tumbi tumbi.......tumbi ya mgongo
mm nyumba ya udongo sistahimil vishindo
chanda chema huvishwa pete
 
Back
Top Bottom