CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Dah! Mbona Kigumu?
Haya Nenda Ngende.
Leta jibu Charm.
mwe! huko hata cpajui afu jina lenyewe baya ka dawa ya kienyej!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Mbona Kigumu?
Haya Nenda Ngende.
Leta jibu Charm.
mmmh umekosa charminglady
Matairi ya Gari bhana.
Haya...
Kitendawiliii
Tumefanana kwa kila kitu ila ukituangalia tuko tofauti
mwe! huko hata cpajui afu jina lenyewe baya ka dawa ya kienyej!
macho/ mikono/ miguu
Ngende ni kijiji kipo Lindi.
Ndio kinasadikika Tz kuwa kina waganga wanaowapa watu Utajiri.
Utakwenda,huendi?
Au nikupe mji au na wewe nikupe Gesti kama Wenzio?
mh,nimechemka nakupa mji nenda Mkuranga...
Yani Charm umekosea mbaya.
Jibu lake ni Kandambili
Mhh!!
Platozoom Nakusemea kwa kaka, Unaongea Matusi.
Sitaki..........nataka niende kwenu pataje
Haya jaribu na hiki charminglady.... Pochi ya mama haina zipu. Ukishindwa mpe Kaizer mji akujibie.macho!
kitendawili. . . . mwalimu kaanguka wanafunzi wanashangilia!!!!!
Haya jaribu na hiki charminglady.... Pochi ya mama haina zipu. Ukishindwa mpe Kaizer mji akujibie.macho!
kitendawili. . . . mwalimu kaanguka wanafunzi wanashangilia!!!!!
nenda tarime!
Haya jaribu na hiki charminglady.... Pochi ya mama haina zipu. Ukishindwa mpe Kaizer mji akujibie.
Tarime kubwa..Sirari, Nyamwaga, gamasara,, Tarime mjini..........?
Wewe wasema! Mi simo!!haaa babu unamaaanisha kipochi manyoya ama???????
mh nimechemka nakupa mji, nenda Bwagamoyo kwa m.kwe.re!Yani humu walimu utawajua 2, mana hvyo vilivyoulizwa hata cjui majibu, nawapa mji mliouliza, nendeni jf chit chat,
kitendawiliiii
hapotei hata akiwa gizani
mh nimechemka nakupa mji, nenda Bwagamoyo kwa m.kwe.re!