Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kibiriti.

Kitendawiliii...!!!
Kwa mbele namba,
kwa nyuma Kata ya kuchotea maji.


haaaa rahisiiiiiiiiiii! Mbele namba moja, nyuma kata yenyewe vibonye viwiwli. Makofi tafadhali Madame B
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom