Kiswahili na mitandao ya kijamii .

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Kupitia shira la habari la BBC SWAHILI juzi .. niliona Kiswahili kimekua Lugha ya nne kutumika na wati kutoa maoni yao kwnye mitandao ya kijamii hususani Tweeter .
Ikiwa ya kwanza ni Kiingereza , ya pili Kiarabu, ya tatu Kiispania navya nne ni Kiswahili .

1.Je kwa takwimu hizo yapasa kuturidhisha kua kiswahili kinakua kwa kasi .

2.Je mitandao hiyo inakuza kwa kutupatia misamiati mipya au inaua misamiati ya zamani na kuleta ludha za kihuni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…