Hahaha mie brother wako. Sema leo niko doro sana.Sasa kusema ukweli ukaimbia hii ngoma dem si atakuwa horny hata before muanze[emoji2] [emoji2] hope ww si dem
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha who would have thought masaja na joti ni pples name,i was thinking anaongelea kitu tu ingine ka chakula ivi[emoji85]Hahaha I know.
I wish ningekuwaga na mavumba...mkwanja...manoti. Anasema he wish he would be rich. Yaani i wish ningekuwanga na pesa....'mavumba'...'mkwanja'....'manoti' (bank notes) hizi ni a.k.a za pesa kwa lugha za mtaani huku Tz.
Au niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba. Anasema "Au angekuwa anajua ku act (maigizo) kama late Steven Kanumba...Kanumba was best actor before his death in 2012. Tafuta movie zake za Bongo Movie hata youtube unaweza ona some clips. Also Masanja and Joti....these two are famous comedians in Tz almost kila mtu anawajua. Just like yule Omondi wa kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] by the way Wakenya mnanifurahisha sana. Vitu vingi vinawapa shida and I like kuwaelekeza how things go. Two years ago nlikua nafanya kazi Equity Bank nlikutana nao wengi sana pale HQ.Haha who would have thought masaja na joti ni pples name,i was thinking anaongelea kitu tu ingine ka chakula ivi[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
True na hio ni.poa juu ana rep East africa,Bongo Fleva has taken East Africa, see how Diamond and Ali Kiba are killing it over Kenya.
Diamond is doing super in Rwanda, Uganda, Zimbabwe and some of other African Countries.
Shida ilikuwa gani?[emoji38][emoji38][emoji38] by the way Wakenya mnanifurahisha sana. Vitu vingi vinawapa shida and I like kuwaelekeza how things go. Two years ago nlikua nafanya kazi Equity Bank nlikutana nao wengi sana pale HQ.
Sent using Jamii Forums mobile app
Culture yetu hamuifahamu. Na hata lugha hatuzungumzi sawa. Uzuri watu wa coast ya Kenya wana Swahili fasaha na ya kale. I like it. Natamani ningekuwa mtu wa Mombasa.
Funny thing ni Watu wa coast wanatuelewa.vizuri sana na pia sisi tunawaelewa,lakini nikiongea na msee wa coast mi humwambia asitumie terms hard,but mbona wakose kutuelewa n.we all kenyans n btw Mombasa after mijikenda the second biggest tribe ni kamba hata i think soon watakuwa the biggest tribe there alafu luo i think tena kikuyu as in bdo top 3 tribes.ndo wako wengi huko,lakini ni baze poaCulture yetu hamuifahamu. Na hata lugha hatuzungumzi sawa. Uzuri watu wa coast ya Kenya wana Swahili fasaha na ya kale. I like it. Natamani ningekuwa mtu wa Mombasa.
I will one day revenge, unless I die before you.
Uta revenge aje?sijakuelewa hapoCulture yetu hamuifahamu. Na hata lugha hatuzungumzi sawa. Uzuri watu wa coast ya Kenya wana Swahili fasaha na ya kale. I like it. Natamani ningekuwa mtu wa Mombasa.
I will one day revenge, unless I die before you.
That's my signature man. Dont get twisted.
hio ni poa i like it,enyewe ni kali hahaThat's my signature man. Dont get twisted.
I will one day revenge, unless I die before you.
Sasa kuzingua ndo kufanya nini?nairobi ina more than watu 3M sijui wako aje,buh if you meant my family wako sawaWe mkenya umeanza kuzingua,by the way niaje wasee pande sa nairobe
Wondering MIMO ni ufipisho wa Jina lipi- Kenyans notorious kufupisha majina yao ya asili.Haha who would have thought masaja na joti ni pples name,i was thinking anaongelea kitu tu ingine ka chakula ivi[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha bangi hio jina sijafupisha thats my name,mzae,inakaa unajua kenya kwani wewe uisoma kwa vitabuWondering MIMO ni ufipisho wa Jina lipi- Kenyans notorious kufupisha majina yao ya asili.