Nimesoma leo kwenye TV Channel E wanasema Lugha ya kiswahili ni ya pili Africa baada yaLugha ya Kiarabu. Kiarabu ndiye lugha inayoongoza kwa kuzungumzwa na watu wengi Africa. Hii inamaanisha tumesha wapiku wanijeria (Kihausa) na kiingereza . Naimani uchumi wetu ukikuwa tutakuwa wakwaza soon.