Kiswazi zaidi: Uzi wa mboga za fastaa rahisi miguu ya kuku na ugali jinsi ya kuandaa

Kiswazi zaidi: Uzi wa mboga za fastaa rahisi miguu ya kuku na ugali jinsi ya kuandaa

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Hivi kuna wakati unakua huna pesa au ndo umebakiwa na visent vidogo au huna hobby ya kula nyama sijui samaki wala huna hobby ya kugusa hata mboga za majani kbs

Simple mboga ni hii ya miguu ya kuku na vichwa
Huwa nikishanunua miguu yangu ilokwisha kaangwa huwa naandaa nyanya,karoti,naweza kuandaa pia ngogwe na bamia

Naweka kitunguu jikoni kisha mafuta then natia miguu yangu na vichwa mingine then ikipata tu joto la mafuta natia nyanya na vikorombwezo vyote waeza tia nazi ukipenda tamu sana n la ugal au wali
FB_IMG_15798096237867664.jpeg
FB_IMG_15798096004857380.jpeg
FB_IMG_15798096174950957.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mboga nyingine ya fasta na wale wavivu kupika km bachelors ni ugali kwa dagaa wa kukaanga na kachumbari pembeni....tamu sana nitakuja kuieleza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mihogo ya kuchemsha na parachichi pembeni nitakuja kueleza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchemsho wa ndizi na parachichi tamu sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mboga nyingine ya fasta na wale wavivu kupika km bachelors ni ugali kwa dagaa wa kukaanga na kachumbari pembeni....tamu sana nitakuja kuieleza

Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu,kwa speed hii utaoa kweli?

Miguu ya kuku na vichwa vyao sijawahi kuviweza kwa kweli
 
Back
Top Bottom