Kiswazi zaidi: Uzi wa mboga za fastaa rahisi miguu ya kuku na ugali jinsi ya kuandaa

Kiswazi zaidi: Uzi wa mboga za fastaa rahisi miguu ya kuku na ugali jinsi ya kuandaa

Hivi kuna wakati unakua huna pesa au ndo umebakiwa na visent vidogo au huna hobby ya kula nyama sijui samaki wala huna hobby ya kugusa hata mboga za majani kbs

Simple mboga ni hii ya miguu ya kuku na vichwa
Huwa nikishanunua miguu yangu ilokwisha kaangwa huwa naandaa nyanya,karoti,naweza kuandaa pia ngogwe na bamia

Naweka kitunguu jikoni kisha mafuta then natia miguu yangu na vichwa mingine then ikipata tu joto la mafuta natia nyanya na vikorombwezo vyote waeza tia nazi ukipenda tamu sana n la ugal au waliView attachment 1332486View attachment 1332487View attachment 1332489

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee🤦🏼‍♀️
 
20210820_135719.jpg
 
Back
Top Bottom