Mwana unatafunaje miguu ya kuku especially broiler duh. Fikiria Ichisagha na Ekererema pamoja na makobhe.
MkuryaMwana unatafunaje miguu ya kuku especially broiler duh. Fikiria Ichisagha na Ekererema pamoja na makobhe.
SikuelewiMwana unatafunaje miguu ya kuku especially broiler duh. Fikiria Ichisagha na Ekererema pamoja na makobhe.
Mboga nyingine ya fasta na wale wavivu kupika km bachelors ni ugali kwa dagaa wa kukaanga na kachumbari pembeni....tamu sana nitakuja kuieleza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mboga nyingine ya fasta na wale wavivu kupika km bachelors ni ugali kwa dagaa wa kukaanga na kachumbari pembeni....tamu sana nitakuja kuieleza
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha kwanini nisioe?Mkuu,kwa speed hii utaoa kweli?
Miguu ya kuku na vichwa vyao sijawahi kuviweza kwa kweli