Hivi kuna wakati unakua huna pesa au ndo umebakiwa na visent vidogo au huna hobby ya kula nyama sijui samaki wala huna hobby ya kugusa hata mboga za majani kbs
Simple mboga ni hii ya miguu ya kuku na vichwa
Huwa nikishanunua miguu yangu ilokwisha kaangwa huwa naandaa nyanya,karoti,naweza kuandaa pia ngogwe na bamia
Naweka kitunguu jikoni kisha mafuta then natia miguu yangu na vichwa mingine then ikipata tu joto la mafuta natia nyanya na vikorombwezo vyote waeza tia nazi ukipenda tamu sana n la ugal au wali
View attachment 1332486View attachment 1332487View attachment 1332489
Sent using
Jamii Forums mobile app