Kitaalamu ina maana gani?

Kitaalamu ina maana gani?

Hellow people

Kwenu wanaume na kwa wanawake wanaojua

Nahitaji kujua,ukifanya mapenzi na mwanaume akamwaga bao la kwanza akaunga bao la pili na la tatu non stop zaidi ya dakika 40 (bila kuchomoa em bii oo kwenye k) kitaalamu ina maana gani?

Ipo siku pia nilikutana nae tukaandaana baada ya mimi kuikalia tu akamwaga chap kwa haraka

Ni mwanaume wangu wa siku zote, kwa sasa hatukutani mara kwa mara kwa sababu ya ratiba ya kazi zetu kupishana

Nawasilisha....
Kumbeeeee ndiyo maana unapenda over 2.5[emoji2957][emoji40][emoji40]
 
Jo mbona kama nikisoma sredi yako kwa jicho kali, naona kama unakompea hivi na kidume mwengine 😁

Sina hata wa kukompea nae mie
Niliyekuwa nae kabla ya huyu nimeshasahau mambo yetu ya chumbani yalikuwaje....uzi ulikuwa na lengo la swali tu
 
Ni kawaida kabisa. Perfomance ya mwanaume hujengwa na lishe na activeness ya kila siku ila huathiriwa Hali ya akili (state of the mind). Akili ikiwa na utulivu wa juu kabisa na hisia za ngono umezijenga muda mrefu hali hiyo hutokea, though(over 30 yrs) its a rare case kwa sababu nilizozitaja hapo juu. Ila kwa kijana wa 15 to 25 ni kawaida kabisa.
 
Hellow people

Kwenu wanaume na kwa wanawake wanaojua

Nahitaji kujua,ukifanya mapenzi na mwanaume akamwaga bao la kwanza akaunga bao la pili na la tatu non stop zaidi ya dakika 40 (bila kuchomoa em bii oo kwenye k) kitaalamu ina maana gani?

Ipo siku pia nilikutana nae tukaandaana baada ya mimi kuikalia tu akamwaga chap kwa haraka

Ni mwanaume wangu wa siku zote, kwa sasa hatukutani mara kwa mara kwa sababu ya ratiba ya kazi zetu kupishana

Nawasilisha....
Unapenda sana mechi😅😅😅

Karibu
 
Sina hata wa kukompea nae mie
Niliyekuwa nae kabla ya huyu nimeshasahau mambo yetu ya chumbani yalikuwaje....uzi ulikuwa na lengo la swali tu

Yesu wanguuuu, hivi Jo kumbe ushawahi andika uzi ka huu

Anyway hivi ulipataga jibu kitaalamu inaitwaje hiyo 😁
 
Nilishawahi aseee
Mie ni lover sana mbona...basi tu humu JF najikuta mgumu 😃

Majibu ndio kama hayo ya walimwengu...nimepata hayohayo
 
No doubt indeed...

Nimeweza jua kupitia mwandiko ule wa ukweli wa kutumia kalamu sio huu wa jeiefu...

Kwa kuwa wewe ni "mchizi wangu" ngoja nijaribu kugusia concern yako kihivi...

1. Kuna baadhi ya wanaume wana sexual stamina ambayo inaweza kuwafanya wakafika mshindo mfululizo au pia kuchelewa kufika mshindo (mathalani mwanamke akafika mara 3 na mwanaume mara 1 tu), sababu zinazopelekea hivi ni mwanaume kuwa mtu wa mazoezi yanayoimarisha pumzi sana, kuwa na upwiru wa muda mrefu, kuenjoy uke wa mwanamke (kuna k hazikinaishi jamani) n.k

2. Mwanaume kuingiza uume ukeni na kumwaga ndani ya muda mfupi si kitu cha ajabu na hii inaweza ikawa kulingana na sababu kadha wa kadha kama kupania sana gemu, kuwa na libido kubwa, mwanamke kuwa na uke wenye joto kali kama mnavyokuwa wakati wa ovulation au ujauzito...

Kwa hisani ya uzoefu enzi za ujana...
 
Hahahah ule mwandiko wa kalamu unamaanisha kwenye ule uzi wa selfika?

Asante,kwa haraka haraka hizo mbili zina uhalisia kwa asilimia nyingi
 
Sasa kutana na lisukuma linalokulaga ule ugali wao mwekundu Sijui wa blue na awe anafanya mazoezi hata ya kucheza mpira😃😃*****..
45 minutes hizi hapa
Ugali wa blue😂😂😂🙌🏽🙌🏽
 
Hahahah ule mwandiko wa kalamu unamaanisha kwenye ule uzi wa selfika?

Hewalaaa ule ule na zile kucha zetu ndefu nzuriiii, ile taswira haijawahi futika kwenye huu ubongo walahiii
 
Back
Top Bottom