Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Tunafahamu undugu wa watu huunganishwa kwa dam ( genetics ). Je ikitokea mtu kachangiwa damu na watu ambao sio familia moja na ikitokea wakapendana tuseme aliyechangiwa damu ( me ) na mtoto wa mchanga damu (ke) na wakafanya mapenzi, je kunaweza kuwa na shida juu ya mtoto atakayezaliwa na kiimani ( kiroho ) itakuwa na madhara gani.
#logical thinker
#logical thinker