Kitabibu nguruwe ni salama au ndo walage tu watajijua wenyewe?

I have a love hate relationship with kitimoto. Sasa nimepata sababu ya kuachana nayo mazima
Hao watafiti achana nao. We endelea kula hutojuta. Hawa watafiti husiwaamini sana. Nakumbuka walikuwa wanakataza kula mayai yq kuku kuwa yana korestro nyingi. Sasa wamegeuka mazima kuwa yanayakiwa kuliwa sana
 
Nataman nijue hawa maprofesa wa sokoine ambao nao wametoa moja ya tafiti hapo juu
Je wanakula nguruwe ama hawali kabisaa?
 


Tafiti moja nyeti wameisahau nayo ni; Walaji wakubwa wa kitimoto wanayo hatari kubwa ya miili yao kupatwa na hisia za USHOGA na hata kuwa mashoga kamili, katika wanyama wafanyao Ushoga nguruwe madume nao wamo wengine ni jamii yote ya nyani, na hata madume ya simba imepata kutokea wakifanya Ushoga na hii ni kwasababu katika Territory wanayoishi lazima kuwepo na nguruwe pori wengi ambao hao huwa ndio chakula chao kikuu.

Hivyo watu wanaokula nyama ya nguruwe wanayo nafasi kubwa ya kuwa mashoga kuliko watu wasiokula.
 
Pwaaa kafiri we unanitia najisi aisee poaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…