Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mombasa na zenji Kuna kaa watu wa dini Gani?Tafiti moja nyeti wameisahau nayo ni; Walaji wakubwa wa kitimoto wanayo hatari kubwa ya miili yao kupatwa na hisia za USHOGA na hata kuwa mashoga kamili, katika wanyama wafanyao Ushoga nguruwe madume nao wamo wengine ni jamii yote ya nyani, na hata madume ya simba imepata kutokea wakifanya Ushoga na hii ni kwasababu katika Territory wanayoishi lazima kuwepo na nguruwe pori wengi ambao hao huwa ndio chakula chao kikuu.
Hivyo watu wanaokula nyama ya nguruwe wanayo nafasi kubwa ya kuwa mashoga kuliko watu wasiokula.
Huo ushoga wanaongoza Kwa kulawiti na kulawitiwa ni WA dini Gani au mikoa Gani kama siyo mikoa ya pwani,Zanzibar,dar ,pwani ,na Tanga?Kwani Mombasa na zenji Kuna kaa watu wa dini Gani?
Kwani Mombasa na zenji Kuna kaa watu wa dini Gani?
Hovyoooooooooo nthsyuuùuuuUtafiti unasema
Pia SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE Wanasema:
- Ulaji wa vipande vitatu vidogo vya nyama ya nguruwe kila siku badala ya kula mara moja tu unaweza kusababisha kuongezeka kwa hatari ya saratani ya utumbo kwa asilimia 20%
Nchini Tanzania nyama ya nguruwe ni maarufu katika maeneo mbali mbali ya starehe na imepewa majina mengi ,kama vile mkuu wa meza, kiti moto na mengineyo mengi.
Hata hivyo utafiti wa kisayansi kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (SUA), umebaini kuwa walaji wa nyama ya nguruwe wako katika hatari ya kupata magonjwa kama vile kifafa kutokana na mnyoo Tegu uliopo kwenye nyama ya nguruwe.
Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na mtafiti wa magonjwa ya binadamu na wanyama Dkt. Boa Mathias Emanuel kutoka chuo kikuu cha SUA, na kwanza amemuuliza ueneaji wa ugonjwa huu.
WHO NAO WANASEMA......
Kuna hasara za kitaalamu za kula nyama hii. Kwanza watumiaji wanapaswa kujua kuwa nyama ya nguruwe ina sumu ya carcin-ogen ambayo inasababisha kansa kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) na The International Agency for Research on Cancer.
Utafiti huo ukaonesha kuwa ukila kila siku gramu 50 ya nyama ya nguruwe, basi uwezekano wa wewe kupata kansa unaongezeka kwa asilimia 18.
Nyama ya nguruwe inasababisha Swine Flu kwa binadamu; hivi ni virusi vinavyosababisha mafua kwa binadamu. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Centers for Disease Control and Prevention inaonesha influenza virus H1N1 na H3N2 wanatoka kwenye nyama ya nguruwe.
Imeripotiwa kuwa virusi hivyo viliwahi kusababisha maradhi ya mlipuko wa ugonjwa huo nchini Marekani. Nyama ya nguruwe pia ina minyoo wajulikanao kwa jina la trichinella worm, ambao hawa ni vigumu sana kuweza kufa kwa nyuzi joto hata la 100C.
Utafiti uliofanyika 1998 na WHO ulionesha kuwa nyama ya nguruwe iliyopikwa kwa nyuzi joto la 104C, asilimia 52.37 na trichinella worm wanabaki kuwa hai. Minyoo hao wakiingia katika mwili wa binadamu, husababisha ugonjwa ujulikanao kwa jina la trichinosis; ambao huwa na dalili kama ifuatavyo:
Homa kali sana, kichwa kuuma, kukosa nguvu, maumivu ya nyama za mwili, macho kuwa rangi ya pink (conjunctivitis), kuvimba uso na kope, kudhuriwa na mwanga. Madhara mengine ya nyama ya nguruwe ni kwamba ina virus aina ya Hepatitis E virus (HEV); ambavyo husababisha homa ya ini aina E.
Wadudu wengine waliomo kwenye nyama ya nguruwe ni; Nipah virus, Menangle virus, Viruses katika kundi Paramyxoviridae wadudu wote hao huwa wanaleta madhara kwa mwili wa binadamu. Mbaya zaidi ni kwamba nyama ya nguruwe husababisha maradhi ambayo yana ukinzani (resistance) na dawa za kuua bakteria (Anti bayotiki).
Nyama ya nguruwe pia ina minyoo aina ya Taenia solium. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), wanasema; minyoo hii unaweza kuipata ikiwa hautapika vizuri nyama hiyo ya nguruwe iliyoathirika (infected).
Minyoo hii ikiingia katika mwili wa binadamu husababisha matatizo ya mfumo wa fahamu (central nervous system), kitaalamu neurocysticercosis na husababisha kifafa. Asilimia 30 ya wagonjwa wenye kifafa huwa ni wale ambao hushambuliwa na minyoo hii ipatikanayo kwenye nyama ya nguruwe isiyoivishwa itakiwavyo.
Imethibitika kuwa watu milioni 50 duniani wanaopata kifafa, huwa ni walaji wazuri wa nyama ya nguruwe, ama kwa kula nyama yenyewe au kwa kula soseji za nyama hiyo. Hata hivyo, kuna faida ya kula nyama ya nguruwe japokuwa hazishindi hasara za kutumia nyama hiyo.
Faida yake ni kwamba hupatikana vitamini muhimu katika mwili wa binadamu; ambavyo ni B1, B6 and B12. Walaji hupata madini ya chuma, ambayo husaidia kuimarisha mifupa pia nyama ya nguruwe inaimarisha ngozi yako na kuifanya iwe laini.
Nyama ya nguruwe ina magnesium kwa wingi ambayo ina faida katika mwili wa binadamu kwani ina protini ya kutosha, ambayo husaidia ulinzi wa mwili. Nyama ya nguruwe pia ina mafuta ambayo hufanya mwili kupata nguvu.
Lakini ukweli ni kwamba hata wanyama wengine kama vile nyama ya ng’ombe, mbuzi, kondoo, nyama zao zina virutubisho hivyo. Swali langu kwako wewe msomaji wa nakala haya; nani anayepika nyama huku akipima joto limefika ngapi?
Tahadhari, sana ulaji wa nyama ya nguruwe kwa sababu madhara yake ni makubwa kuliko faida yake!
Itatusaidia nini kuondokana na DP world¿Utafiti unasema

Nimekula hii nyama over 37 years,Sina kifafa,nyie wavaa makobazi hammudu kula nyama yoyote ,kwenu nyama ni big ishu mpaka mpewe kwenye nyumba zenu za ibada
🤣🤣🤣 waache mkuu..., kutokula tuu hii nyama ni mateso kwa wengi...Nimekula hii nyama over 37 years,Sina kifafa,nyie wavaa makobazi hammudu kula nyama yoyote ,kwenu nyama ni big ishu mpaka mpewe kwenye nyumba zenu za ibada
Ndiyo sumu gani hii!!? 😳nyama ya nguruwe ina sumu ya carcin-ogen
Hasa shida iko kwenye nyama ya Nguruwe na siyo KITIMOTO. Kitimoto italiwa sana kwa afya zetu