Kitabibu nguruwe ni salama au ndo walage tu watajijua wenyewe?

Au unamjifanya mjuvi sana,Leo hii mambo yapo mengi mtaani husemi unakuja kuzungumza ishu za nguruwe?
Zungumzia kuhusu vipodozi
Samaki
Juice na energy drinks
Sigara
Bangi
Ubakaji na ulawiti
Njaa na lishe duni
 
Kwani Mombasa na zenji Kuna kaa watu wa dini Gani?
 
Yaani hiyo minyoo isimuue nguruwe wakati wa uhai wake ije inidhuru mimi mlaji,tena nyama ikiwa imekaangwa
 
Nimekula hii nyama over 37 years,Sina kifafa,nyie wavaa makobazi hammudu kula nyama yoyote ,kwenu nyama ni big ishu mpaka mpewe kwenye nyumba zenu za ibada
 
Halafu wengi wenu kitimoto mnakula Kwa siri,hamtaki ndugu zenu wafahamu
 
Hovyoooooooooo nthsyuuùuuu
 
Nimesoma faida tuu...
Hayo mautafiti mengine sitaki kusikia. Hatutaishi milele hapa duniani. Ukijua hivo, hautaishi kwa waswas.

Ila kiukweli hii nyama. Acha kabisaaa!

Itatusaidia nini kuondokana na DP world¿
 
Nimekula hii nyama over 37 years,Sina kifafa,nyie wavaa makobazi hammudu kula nyama yoyote ,kwenu nyama ni big ishu mpaka mpewe kwenye nyumba zenu za ibada

Nimekula hii nyama over 37 years,Sina kifafa,nyie wavaa makobazi hammudu kula nyama yoyote ,kwenu nyama ni big ishu mpaka mpewe kwenye nyumba zenu za ibada
🤣🤣🤣 waache mkuu..., kutokula tuu hii nyama ni mateso kwa wengi...
Wanalinganisha na ngamia mshinda juani, mbeba mizigo, nyama ngumu kama kigozi.
 
Vitu vitamu vyote sio salama kama hutachukia tahadhari.Mbususu ni tamu ila unailaje,wakati gani,na mtu gani,status gani nk
 
Amna kitu kisicho na madhara
Kama sili basi ni kwasababu zangu tu
 
Hasa shida iko kwenye nyama ya Nguruwe na siyo KITIMOTO. Kitimoto italiwa sana kwa afya zetu

Kama ni hivyo wote wanaokula wangekuwa wameshafariki na kansa. Lakin watu wapo wanadunda daily na wamekuwa wakila tokea utotoni
 
Utamu wa kitimoto huwezi kuuringanisha na hizo hasala ulizoweka mdudu ni mtamu usiombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…