Kitabibu nguruwe ni salama au ndo walage tu watajijua wenyewe?

Yaani nyama zote zina shida za kiafya kwa binadamu, check hapa chini,


Ila kwanini huyu mwamba anagandwa sana negatively..!!??
 
Hata ukizaliwa tu tayari unakuwa upo hatarini kufa au kuja kupata magonjwa.
 
Nguruwe inaliwa kwa wingi Kaskazini kuliko Kanda ya Ziwa ila Kanda ya Ziwa ndiyo inaongoza kwa wagonjwa wa saratani nchini.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Haya majinga yanakariri tafiti za Wazungu tu.Hayana kitu kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…