Kitabu Adimu Kutoka Maktaba ya Hamisi Hababi

Kitabu Adimu Kutoka Maktaba ya Hamisi Hababi

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
KITABU ADIMU KUTOKA MAKTABA YA HAMISI HABABI

Hazina hii inatoka katika Maktaba ya Hamisi Hababi.

Hiki ni kitabu cha maisha ya Sheikh Kaluta Amri Abedi mmoja kati ya wazalendo walipigania uhuru waTanganyika.

Sheikh Amri Abedi alisoma darasa moja na Mwalimu Julius Nyerere, Tabora.

Katika darasa lao ile namba 1 katika kila mtuhani aidha atakuwa Amri Abedi au Julius Nyerere.

Wakipokezana.

Kitabu hiki kimeandikwa na Mathias Mnyampala ambae kama alivyokuwa Sheikh Amri Abeid alikuwa bingwa wa lugha ya Kiswahili na mtunzi nguli wa mashairi.

Mswada wa kitabu hiki ulikamilika mwaka wa 1968 lakini ukachapwa kuwa kitabu mwaka wa 2011.

330204940_507190854827359_7734018693545683063_n.jpg

Sheikh Kaluta Amri Abedi​
 
Mathias Mnyampala ni moja ya manguli wa fasihi. level za Shaaban Robert. Nilifurahi kujua kuwa alifanya kazi kwenye mahakama ya kadhi pamoja na Sheikh Abeid licha ya kuwa alikuwa ni mkristo. Mkuu Mohammed nawezaje kupata kitabu hiki hata scanned copy(kwa ada fulani). Nina project ya kukusanya vitabu mbalimbali vya zamani. Vitabu hivi vipo kwenye public domain hivyo hatutakuwa tunamdhulumu yeyote.
 
Lyc...
Nimefamishwa kuwa kitabu hiki kinapatikana Msikiti wa Kadiani Titi Street na Nkrumah.
 
Back
Top Bottom