Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
KITABU ADIMU KUTOKA MAKTABA YA HAMISI HABABI
Hazina hii inatoka katika Maktaba ya Hamisi Hababi.
Hiki ni kitabu cha maisha ya Sheikh Kaluta Amri Abedi mmoja kati ya wazalendo walipigania uhuru waTanganyika.
Sheikh Amri Abedi alisoma darasa moja na Mwalimu Julius Nyerere, Tabora.
Katika darasa lao ile namba 1 katika kila mtuhani aidha atakuwa Amri Abedi au Julius Nyerere.
Wakipokezana.
Kitabu hiki kimeandikwa na Mathias Mnyampala ambae kama alivyokuwa Sheikh Amri Abeid alikuwa bingwa wa lugha ya Kiswahili na mtunzi nguli wa mashairi.
Mswada wa kitabu hiki ulikamilika mwaka wa 1968 lakini ukachapwa kuwa kitabu mwaka wa 2011.
Sheikh Kaluta Amri Abedi