Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Lyc...Mathias Mnyampala ni moja ya manguli wa fasihi. level za Shaaban Robert. Nilifurahi kujua kuwa alifanya kazi kwenye mahakama ya kadhi pamoja na Sheikh Abeid licha ya kuwa alikuwa ni mkristo. Mkuu Mohammed nawezaje kupata kitabu hiki hata scanned copy(kwa ada fulani). Nina project ya kukusanya vitabu mbalimbali vya zamani. Vitabu hivi vipo kwenye public domain hivyo hatutakuwa tunamdhulumu yeyote.
Nashukuru sana. Nitakitafuta hukoLyc...
Nimefamishwa kuwa kitabu hiki kinapatikana Msikiti wa Kadiani Titi Street na Nkrumah.