Kitabu alichoonesha Freeman Mbowe alipokuwa anaingia Mahakamani kina ujumbe gani?

Aliyempelekea hicho kitabu Mbowe amefanya jambo la heri. Mbowe ana NEGATIVITY sana na utawala wa Samia. Hivyo basi akimaliza kusoma kitamsaidia kuishi kama raia mwema
Ndugu yangu,
Positive thinking sio tu kuwa mtu wa kufurahisha watu, ni zaidi hapo.
The power of thinking ni uwezo wa kujenga uimara, ujasiri na mitazamo ya ushindi dhidi ya mapito, changamoto na matatizo katika maisha, Ikiwamo kutoogopa kuinuka na kusema ukweli ili kusimamia HAKI. AMEN
 
Ukweli gani na haki anayoisimamia Mbowe, au unafuata #Hashtag za Mbowe siyo gaidi? Mbowe angekuwa mtu wa haki angeruhusu Chacha Wangwe agombee mwaka 2008/09! Mbowe añgekuwa mtu wa haki asingemfukuza Zitto Kabwe alipotaka kugombea Uenyekiti mwaka 2010.

Mbowe añgekuwa mtu wa haki asingemnyang'anya Dr Slaa haki ya kugombea uRais wa Tanzania mwaka 2015 na kumpa Lowassa baada ya Lowassa kumpa Tsh 10 Billion
 
Kwa mbambikiaji yeyote,atataka kuhalalisha ubambikiaji wake kwa kuyasema yasio mazuri dhidi ya anaye mlenga.
 
Back
Top Bottom