Kitabu: C.R. Kothari , Reasearch Methodology: Methods and Techniques (2nd revised edition)

Kitabu: C.R. Kothari , Reasearch Methodology: Methods and Techniques (2nd revised edition)

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Posts
15,328
Reaction score
11,192
For social scientists and researchers. Is a veru useful manual on research! Grab it!
Research-MethodologyMethods-and-Tec.jpg
 
Attachments

haagh! kitabu hicho ni chaka! kothari ni kama Nyambari Nyangwine wa India, lete vitabu vyenye Mashiko if you realy want wana JF to become real Social Scientists: anyway nafikiri kitawafaa sana watu wa CBE, Social Work, IFM and UDOM!:lol::lol:

For social scientists and researchers. Is a veru useful manual on research! Grab it!

View attachment 25086
 
haagh! kitabu hicho ni chaka! kothari ni kama Nyambari Nyangwine wa India, lete vitabu vyenye Mashiko if you realy want wana JF to become real Social Scientists: anyway nafikiri kitawafaa sana watu wa CBE, Social Work, IFM and UDOM!:lol::lol:

Asante kwa mchango wako.
Weka mfano, walk the talk!
 
Mie ndo nakisoma ni kitabu bomba sanaaaa nipo kwenye Hypotheses testing by now
pole, if you are a researcher, your supervisor must be a KILAZA...na wewe ni bonge la Kilaza!:juggle:
 
acha kukandia bana NBAA wenyewe wanakifagilia
 
NDO MANA WANAFUNZI WAO HAWAFAULU MITIHANI YAO BANA! NAJARIBU KUKUFUNGUA MACHO SO TRY TO FIND SOMETHING "PREGNANT"! :focus:
acha kukandia bana NBAA wenyewe wanakifagilia
 
vipo vizuri kama Creswell, J.W (2005,2009), Borg,w.R & Gall, M.D (2003). hiyo ni mifano tu!

Weka hivyo vitabu hapa kama unavyo in soft copy ili uweze wasaidia ndugu zako sio kuanza kumkosoa mwenzako kwa jambo jema alilofanya. Hapo mkuu hujengi bali una-discourage the good intention aliyokuwa nayo jamaa!!
 
haagh! kitabu hicho ni chaka! kothari ni kama Nyambari Nyangwine wa India, lete vitabu vyenye Mashiko if you realy want wana JF to become real Social Scientists: anyway nafikiri kitawafaa sana watu wa CBE, Social Work, IFM and UDOM!:lol::lol:

Nafikiri ni mwanzo mzuri kwa wanaoanza...Kumbuka tuko levels mbali mbali katika kujifunza kwa hiyo usifikiri kila mtu yuko kiwango chako. Wengine tulianza kuandika kwa vidole kwenye mchanga na sasa tunatumia kompyuta.

Namshukuru aliyepost. miye nilinunua hard copy na ninakitumia somtimes.
 
Jamani si mtuwekee hapa kama alivyofanya Indimi?lazima tumpe senkyu Indimi,toeni michango yenu kwa kumwaga vitabu hapa na si tu kusifia au kukashifu mtu aliyetumia vijisenti vyake ili akina KILAZA nao waondokane na UKILAZA,hata wanaosoma CBE nao watafika mbele ya safari hata Roma haikujengwa kwa siku moja
 
yah sure ni kizuri mimi pia kimenisaidia kwenye research paper yangu
 
Asante sana mkuu, nilikuwa nakiwinda dunia nzima! Nilitaka kunkinunua online nkaogopa bei. Ngija nikiedit kisha nikiprint!
 
...@Mjanga, Shy, viwekeni hapa hivyo vitabu ili tusaidie ndugu zetu wanaovihitaji. Kuweka title za authors pekee haitusaidii sana.
Tatizo wabongo wamezoea free Lunch, ndo maana piracy haiishi! wanapaswa kuvitafuta na kuvinunua ili waandishi wapate motisha ya kuendelea kuandika vingine vizuri! nafikiri ma GREAT THINKERs wanaelewa haya! wekezeni kwenye kuongeza maarifa jamani..SAWASAWA?? MBONA HAMWUOMBI TUWAMIMINIE BIA ZA BURE HUMU???:ballchain:
 
Back
Top Bottom