Mutambukamalogo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 397
- 85
Tatizo wabongo wamezoea free Lunch, ndo maana piracy haiishi! wanapaswa kuvitafuta na kuvinunua ili waandishi wapate motisha ya kuendelea kuandika vingine vizuri! nafikiri ma GREAT THINKERs wanaelewa haya! wekezeni kwenye kuongeza maarifa jamani..SAWASAWA?? MBONA HAMWUOMBI TUWAMIMINIE BIA ZA BURE HUMU???:ballchain:
Umenena kweli mkuu. Sometimes ukipewa jina la Author unaweza kupata title zake zote. Tatizo wabongo hatutaki kujituma. Tunataka tutafuniwe tumeze!.