Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Kiswahili gani kibovu ivi weka pdf la kimalkia nisome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubinafsi angekuwa na roho kama yako hata kuweka hapa asingewekaBora u2me english version au pdf tusome wenyewe hawa google wameiharibu hii tafsiri
Tupo pamojaMmmh hapo kwenye India baba umetuokota sema nitasoma mpaka mwisho nimependa
Karibu sanaNaam safi sana tuwekee kwa Kiswahili hivohivo kwa faida ya wengi kaka
Ukweli ni kwamba hakuna kitabu rasmi cha kidini cha Adam na Eva /Hawa kinachotambulika na Wayahudi ama Wakristu.
Ingawa Biblia ina hadithi ya Adam na Hawa katika kitabu cha Mwanzo, hakuna "Kitabu cha Adamu na Hawa" kinachochukuliwa kuwa sehemu ya maandiko matakatifu katika dini hizo mbili.
Japokiwa yapo maandishi ya ziada yanayoongelea juu ya maisha ya wawili hawa baada ya kuondoshwa bustani ya Paradiso ambayo mara nyingi huitwa Maisha ya Adamu na Hawa au Mgogoro wa Adamu na Hawa na Shetani, maandishi haya ni sehemu ya apokrifa (toka neno "apocrypha" lenye maana ya vitu vilivyofichwa) au pseudepigrapha (neno lenye maana ya mtunzi asiyetambulika) na hayatambuliki kama maandiko yaliyoongozwa na Mungu katika Uyahudi au Ukristo.
Maandishi haya, yaliyoandikwa katika lugha na desturi mbalimbali (kama Kigiriki, Kilatini, Kiarmenian, na Kige’ez), yanatoa ufafanuzi wa kusisimua juu ya simulizi ya Mwanzo lakini hayakuwamo katika Biblia bali ni maandishi yaliyotungwa baadae na yamejaa simulizi za kutunga zenye kusisimua.
Vitabu hivi kamwe havikuwahi kufikiriwa kuwa vina uvuvio wa roho wa Mungu na hivyo ni vitabu vya hadithi tu zilizotungwa na watu kwa malengo na nia zao binafsi
SawaUkweli ni kwamba hakuna kitabu rasmi cha kidini cha Adam na Eva /Hawa kinachotambulika na Wayahudi ama Wakristu.