Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Kwenye kuomba kibali cha ujenzi wa kituo EWURA; nini natakiwa kuwanavyo on hand?View attachment 3615468
Mawasiliano yetu:
Bright and Genius Editors;
Email: bandg.editors@gmail.com;
Whatsapp: +255687746471
Clean Energies Group;
Email: clean.energies.group@gmail.com;
Whatsapp: +255747744895.
Kibali cha EWURA na Nyaraka za kuwa nazo on hand: Maelezo haya yanapatikana katika Sura ya Tisa (Sura ya 9) ya kitabu. Namna ya kuomba uwakala kwa Supplier mkuu: Mwongozo huu wa kibiashara unapatikana katika Sura ya Kumi (Sura ya 10), chini ya Kipengele cha 10.3.Kwenye kuomba kibali cha ujenzi wa kituo EWURA; nini natakiwa kuwanavyo on hand?
Kwenye kitabu chako hujasema namna gani naweza kuomba uwakala kwa supplier mkuu?
Paragraph 10.3 kinazungumzia Taratibu za Kurejesha Mkopo wa REA. Hii ni current version ya 3 ya 2026Kibali cha EWURA na Nyaraka za kuwa nazo on hand: Maelezo haya yanapatikana katika Sura ya Tisa (Sura ya 9) ya kitabu. Namna ya kuomba uwakala kwa Supplier mkuu: Mwongozo huu wa kibiashara unapatikana katika Sura ya Kumi (Sura ya 10), chini ya Kipengele cha 10.3.
Paragraph 10.3 kinazungumzia Taratibu za Kurejesha Mkopo wa REA. Hii ni current version ya 3 ya 2026
Nimekutumia pm