The Giant
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 504
- 96
Wakuu, na hamu ya kuanza kuwekeza kidgo kidgo katika masoko ya fedha na mitaji. Hapa nilipo sifahamu chochote kuhusu haya mambo. Elimu ndo moja ya njia ya kujua mchakato mzima. Nimekiona hiki kitabu Amazon, ni $15 in kindle edition. Ila mimi nahitaj hardcopy. Ni wap ntakipata?
Je kuna Vitabu vingine waweza recommend?
Asante.
Je kuna Vitabu vingine waweza recommend?
Asante.