Kitabu cha Elimu ya Hisa, Akiba na Uwekezaji ni Wapi ntakipata?

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Wakuu, na hamu ya kuanza kuwekeza kidgo kidgo katika masoko ya fedha na mitaji. Hapa nilipo sifahamu chochote kuhusu haya mambo. Elimu ndo moja ya njia ya kujua mchakato mzima. Nimekiona hiki kitabu Amazon, ni $15 in kindle edition. Ila mimi nahitaj hardcopy. Ni wap ntakipata?
Je kuna Vitabu vingine waweza recommend?
Asante.
 
Upo Dar? Jaribu mlimani city pale. Au duka moja la vitabu kule mtaa wa Samora, Posta.
 
Wakuu, na hamu ya kuanza kuwekeza kidgo kidgo katika masoko ya fedha na mitaji. Hapa nilipo sifahamu chochote kuhusu haya mambo. Elimu ndo moja ya njia ya kujua mchakato mzima. Nimekiona hiki kitabu Amazon, ni $15 in kindle edition. Ila mimi nahitaj hardcopy. Ni wap ntakipata?
Je kuna Vitabu vingine waweza recommend?
Asante.
Mimi ni mbobezi Kwenye hayo mambo Je naweza kukupa Elimu hiyo unilipe per lesson?
 
Kitabu hicho ni cha Emilian Busara, mwandishi na mwekezaji mahiri ktk soko la Hisa la Dar es salaam.

Waweza kukipata ktk bookshop mbalimbali hapa mjin Dar es salaam, au njoo PM kwa msaada zaid

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Asante, Bei ni sh. ngapi?
 
Back
Top Bottom