Mimi ni mbobezi Kwenye hayo mambo Je naweza kukupa Elimu hiyo unilipe per lesson?Wakuu, na hamu ya kuanza kuwekeza kidgo kidgo katika masoko ya fedha na mitaji. Hapa nilipo sifahamu chochote kuhusu haya mambo. Elimu ndo moja ya njia ya kujua mchakato mzima. Nimekiona hiki kitabu Amazon, ni $15 in kindle edition. Ila mimi nahitaj hardcopy. Ni wap ntakipata?
Je kuna Vitabu vingine waweza recommend?
Asante.
Asante, Bei ni sh. ngapi?Kitabu hicho ni cha Emilian Busara, mwandishi na mwekezaji mahiri ktk soko la Hisa la Dar es salaam.
Waweza kukipata ktk bookshop mbalimbali hapa mjin Dar es salaam, au njoo PM kwa msaada zaid
Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Mimi ni mbobezi Kwenye hayo mambo Je naweza kukupa Elimu hiyo unilipe per lesson?