Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Hivyo vitabu vina Version nyingi na zote zinapingana, jiulize kama biblia ilikataza kupunguza lolote kwanini hawa majambazi wa kirumi na waandishi wa biblia waliondoa vitabu vingi ambavyo mambo mengi humo hawataki yasemwe?, na ukweli mambo hayo ndio Maelezo ya mwanzo na mwisho wa maisha ya viumbe duniani.

Mfano Biblia na vitabu vya kidini vinaficha ukweli kuhusu chimbulo la Tofauti za Rangi za watu duniani, badala yake wanaleta ngonjera za kitoto kuwa Nuhu mtu mweupe kwa maelezo yao ndio baba wa Race zote dunian, jambo ambalo halimake sense, kiufupi haiwezekani mtu mweupe kumzaa mtu mweusi, hata kimuujiza haiwezekani.

Na kuhusu Malaika walioshuka duniani, hawakuwa 200, bali zaidi ya 200, na hawa ndio Baba wa hivi viumbe mnavyoviita majini,mizimu, Miungu, mapepo na kadharika.

Alafu hao chotara kati ya hao wanawake weusi na Fallen Angeles(malaika) hawakuwa wakubwa kiasi hicho wala hawakutokomezwa wote bali wapo waliopona na Kuingia ktk safina ya Nuhu(hili jambo hutoambiwa na dini zenu)

Na hao nephilims/machotara wa kibinadamu na kimalaika ndio chanzo ama chimbuko la watu wote weupe tofauti na mtu mweusi.

baadhi ya kundi lililofungwa ni hao malaika waliozaa na binadamu na baadhi kuzaa na wanyama hawa ndio waliopewa adhabu ya kifungo lkn wapo ambao hawakufungwa.

Baadhi ya waliozaa na wanyama walileta mseto ama viumbe chotara ambao hivi leo ndio hawa mapepo, majini na majina mengi muwaitavyo, na ndiomaana mapepo maumbo yao huwa ya hovyo, wapo wenye maumbo nusu mtu nusu samaki, nusu mtu nusu mbuzi, nusu mtu nusu farasi, nusu mtu nusu ndege, pia nusu mtu nusu popo hawa uzao wao ulikuwa kati ya malaika na wanyama ndio ukaja uzao huo.

Na kwa wakati huo hawa mapepo wote walikuwa na miili ya kimwili hivyo walikuwa wanaonekana Live tofauti na sasa ambapo hawana miili ya ulimwengu wa kimwili.

Baada ya gharika mapepo wote miili yao ya kimwili iliteketezwa na kubaki miili ya kiroho, na kitendo hiki kilifanywa kwa Mapenzi ya Muumba dhidi ya hawa viumbe ambao kama wangebaki na miili ya ulimwengu huu sidhani kama tungepona.

Agenda kuu ya hao malaika walioshuka dunian ilikuwa kubadiri uumbaji wa viumbe duniani kwa kubadiri kila kiumbe na kuleta mseto/chotara ili machotara hawa waumalize uzao Originala na kuutawala ulimwengu.

Hilo halikuwezekana, lkn kwakuwa baadhi ya nephilims(watu weupe) walipona ktk safina ya nuhu, basi hawa ndio chanzo na chimbuko la rangi zoote za wanadamu weupe, kuanzia wachina, wazungu ambao nao walizaana na kuzidi kuleta machotara wengi kama vile wahindi, waarabu na kadharika.

Hilo jambo/Agenda yao ya kuutawala ulimwengu kwa kuangamiza uzao Original/Asili na kuleta viumbe mseto bado huu mpango upo, ndiomaana wanaendelea kuleta species za viumbe mseto/kisasa kama vile mbegu za G.M.O kama vile mimea ya kisasa, wanyama wa kisasa, kuchochea uzazi kati ya watu weupe na weusi kilazima kupitia muingiliano ya watu Afrika, Ukimbizi, kupandikiza mataifa ya waarabu Afrika lengo kuu ni hilo Kuufanya ulimwengu mzima utawaliwe na viumbe feki.

Wazungu na wanadamu wote rangi nyeupe ni viumbe feki, hawakuwepo ktk Mpango wa Muumba kuishi duniani maana wao ni viumbe feki si viumbe wa asili, kiumbe wa asili ni mtu mweusi ambaye anapigwa vita kila angle asijitambue, kuanzia Kielimu, kiuchumi, kijamii na kubwa kabisa anapigwa ktk Angle ya kiimani kwa kumpandikizia hizo dini za uongo za ukristo na uislamu ili asahau uhalisia wake na historia yake.

Kitabu cha nuhu kweli kipo lakin hakihusiani na hayo matoleo yao ya uongo waliyoyasambaza nchi nyingi kongwe na baadhi mitandaoni, wanawapa Fake doctrines ili mjichanganye mpingane ninyi kwa ninyi.

Nuhu wa kweli alikuwa mtu mweusi, mwenye jina la Asili na lugha ya kitamaduni ya kiafrika, Aliishi hapa hapa Afrika na hakuwai kwenda nje ya Afrika.

Hata hiyo wanayoita safina dini zimedanganya uhalisia wake, ilikuwa mfano wa Nembo/Umbo maridali Afrika la Pyramid ambayo ujenzi wake hakuna mtu mweupe wala mtu mweusi anayeukana Uafrika anaeweza kupata wala kujua sayansi iliyotumika kujenga, maana Sayansi&technolojia hiyo ipo katika DNA halisi za mtu mweusi tu ambaye anafuata asili na sheria za Uungu wa mtu mweusi, tofauti na hapo hakuna awezaye kuja kujua wala kutambua hizi pyramids ziliundwa vipi, watasingizia sijui Aliens na takataka nyingi ili kuficha ukweli, lkn ukweli haufichiki, hao Aliensi kama kweli walijenga mbona hawarudi tena?.

Afrika tunaumia na kuteseka si kwamba hatuna akili, bali tunaishi nje ya mifumo yetu, Afrika ili iendelee nilazima tuActivate uasilia wetu na si kufuata mifumo ya hao demons watu weupe ambao hawana uwezo wala hawana UHALALI/HAKI ya kumfundisha mtu mweusi.
Mtu mweusi ndie Mungu wa rangi zoote, sasa unaanzaje kumfundisha Mungu wako? Unawezaje kumfundisha jambo fulani mtu ambaye aliishi duniani maelfu ya miaka na kuona maelfu ya matukio, then wewe wa juzi ujifanye umjuaji zaidi yake?.

Waafrika tunapotea sababu ya kuushusha Uungu wetu, kujidharau na kuruhusu hawo wajawa laana watu weupe watuoneshe maisha yako vipi wakati ni sisi ndio tulitakiwa kuwafunza wao maisha yako vipi.

Jitahidini mjifunze mambo mapya, msikatalie hizo ngonjera mlizokalilishwa kila siku kuhusu hii mifumo bandia ya maisha, kwa kizazi hiki cha technolojia mambo mengi yaliyofichwa yako wazi kabisa, ni wewe tu kuamua kufungua ufahamu wako uruhusu uyajue ambayo hukuyajua na pengine hutoyajua maana mifumo yetu hii bandia ya kikoloni hairuhusu tuyajue.

Wake up guys
 

Attachments

  • 1720465215221.jpg
    188.1 KB · Views: 13
Mtafute Mungu, usitafute Malaika wa Mungu!!

Kutafuta Malaika wa Mungu bila kumtafuta Mungu, huo ni uasi mkuu na ibada za miungu!!
Huwezi kumpata Muumba bila connection, haiwezekani na haitowezekana, acheni kudanganya watu, mambo haya Ya Kiimani ni sawa na Mifumo ya Uongozi wa siasa duniani, huwezi kuonana wala kuwasiliana na Rais/mfalme pasipo watu wa kati ama viongozi wa ngazi za chini, na kwa bahat mbaya zaidi kwa kizazi hiki hakuna awezaye hata kugusa level ya chini kabisa ya kuwasiliana na Muumba yaan kuwasiliana na malaika.

Ili uwasiliane na Muumba inategemea na level yako ya Nguvu, kama ni sisi wadhambi wa kizazi hiki basi huna uwezo hata wa kuwasiliana na Roho mtakatifu maana kajawa UTISHO na Nguvu ambazo hakuna pimbi kwa nyakati hizi anaweza kuhandle, hivyo basi ni lazima ujumbe utumike kupitia mtu mwenzako ambaye nae anapata maono ya kufikisha habari/ujumbe kwa jamii husika, iwe kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamaa au hata Memes na mawasiliano ya ana kwa ana.

Ikitoka level ya kuwasiliana na Muumba kupitia mtu mwenzio, kama upo vizuri Kinguvu rohoni, mwilin na nafsi basi anatumika malaika wa ngazi/level ya chini kabisa kukupa habari, ikitoka hapo hivyo hivyo unapanda ngazi za mawasiliano kutokana na uwezo wako.

Level ya mwisho kabisa ya mawasiliano na Muumba ni kupitia wajumbe wake wa kiroho ambao kicheo ni zaidi ya malaika, makerubi bila kusahau Roho mtakatifu ambaye yeye si Muumba bali Nguvu za Muumba zitumikazo kufikisha ujumbe kwa viumbe wake.

NOTE: Ijulikane hivi Tangu mwanzo wa dunia na mpaka mwisho wa dunia hakuna mtu yeyote aliyewai kumuona Muumba wala kusikia sauti yake na hakuna atakayemuona, kwakua yeye yuko nje ya kila ufahamu, haonekani, hasikiki, hana sifa za viumbe, hata uwepo wake haupo kwakua yuko nje hata ya hizo mnazosema Mbingu.

Biblia zilichezewa sana na wazungu kubadiri maandiko na kumfanya Muumba kama kiumbe, ndiomaana ukisoma maandiko utaambiwa sijui Muumba alionana na watu mala alishuka dunian, huo ni Uzushi na uongo.

Jini tu linakutoa jasho kuliona je utastahimili mawasiliano na ambaye hafananishwi na lolote?

Walokole acheni ukilaza.
 
Umemaliza mwishoni vizuri sana
 

Màmbo NI mengi mno
 
Lililo anadikwa hapo niite habari maana hakuna ajuae ukweli au ana jua kua alikuepo....

Sasa niwarudie wote mlio comment kua ni kamba...inaonesha jinsi gani mnatumiwa na huyo ibilisi Katika kufunga akili zenu...

Soma habari,fikiria je haya yanangeweza tokea ...angalia evidences kama Zina kutosha hazikutoshi toa na ww evidence za kukanusha sio neno 'kamba'...

Tuna safari ndefu ya uelewa na maisha mafupi. Watu wanakufa hawajui chochote.kwasbb ya ubishi.
 
Hizi na nyingine zitaendelea kuwa stori tu zisizothibitikika. Kila mmoja atasema lake na hivyo kuwa na total confusiion.
 
Mkuu vipi kuhusu majini? Yana uhusiano na annunaki, vipi kuhusu mungu wa waislamu allah naye ana uhusiano wowote na hao
Hakuna kitu kinaitwa majini hizo ni hadithi za kale za waarabu,
Yaani majini Sio viumbe halisia hizo hadith walizicopy kutoka Atlantis mythology wakiwaelezea viumbe Mermaid walio kua clonide na Annunak na ndio maana story zao zina wafafanua kama viumbe wanaoishi chini ya bahari hizo zote ni mythology za kale enzi za Atlantis Civilization,
Kuhusu mungu Allah, Allah hajawahi exist ila ni muhusika mkuu katika Arabian book of morals and dogmas Quran wakimkopy Mungu wa Israelites El/JEHOVAH katika mapokeo yao kiufupi wahusika wa kale katika Sumerian tablet ni wale wale wa Israelites Bible na ndio hao hao katika Kemet,Maya na Aztec,Indian na Jamii nyingi wamebadilishwa majina tu!
 
Mkuu mtibeli: Lakini ikiwa hao demigods na watu waliofundishwa technogia na uchawi wote walikufa wakati wa ghalika

Akabaki nuhu na wanae je uchawi na tech tuliyonayo Leo vimetoka wapli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…