Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Mkuu mtibeli: Lakini ikiwa hao demigods na watu waliofundishwa technogia na uchawi wote walikufa wakati wa ghalika

Akabaki nuhu na wanae je uchawi na tech tuliyonayo Leo vimetoka wapli?

Baadhi ya Demigods waliescape,
Pia kuna simulizi ñyiñgine inaeleza kuwa Hamu Mtoto WA Nuhu aliingiza Baadhi ya Demigods kwèñye Safina kimagendo
 
Malaika hawana utashi wa kuasi,hufanya walichoagizwa na Mungu wao, hawana jinsia,hawawezi zaa na yeyote

Hiyo NI Kulingana na KITABU gàni?
Maana ukisema hivyo NI muhimu kusema Kabisa unaongea Kwa Mujibu wa KITABU Fulani
Kumbuka vitabu vyote NI simulizi za kufikirika
 
Mkuu mtibeli: Lakini ikiwa hao demigods na watu waliofundishwa technogia na uchawi wote walikufa wakati wa ghalika

Akabaki nuhu na wanae je uchawi na tech tuliyonayo Leo vimetoka wapli?
Mkuu mbona kwenye maelezo yake alishasema wapo walio escape
 
Nimekwambia vya kufikirika ni vile vilivyofungisha ndoa species mbili tofauti na kudai zikapata mtoto

Na Mimi nikakujibu kuwa hata Quran na Biblia NI vitabu vya kufikirika Kwa sababu vinaeleza mambo yasiyowezekana kwa Akili ya kawaidà.

Sasa kama wewe unaona species' Mbili tofauti haziwezi Fanya crossbreed
Elewa kuwa hata mambo yôte yaliyoandikwa kwèñye Quran na Biblia hayawezekaniki na hiyo huufanya yaitwe yakusadikika.
Mfano Mhusika Aitwaye Allah kuumba ulimwengu Wakati huohuo yeye hajaumbwa ni Stori za kusadikika na kama utatumia Akili ipasavyo huwezi kuzikubali.

Kuzikubali NI Ile Hali ya kuamua kuacha kutumia Akili yako na kuamini hadithi za utunzi
 
Hapo mkiulizwa habari za mababu zenu hata kizazi cha tano tu hapo hamzijui
Jeremy: I'm protecting it. Jeremy: This Bible... is the first book ever printed. It represents... the dawn of the Age of Reason. As far as I'm concerned, the written word is mankind's greatest achievement. (The day after tomorrow movie)

Babu zetu walikuwa hawaandiki, ila kuna mtemi wa huko unyamwezini nimeona anahojiwa na yule jamaa wa kipindi cha zamadamu TBC daah! Inawezekana hawa machizi wote huku mjini wanatoka unyamwezini maana zile sio kamba ni kichwa kuvurugika!!

Eti mirambo alipaa na ungo hadi China akaenda kupigana vita na Mao Zedong. Huyo Mirambo alizaliwa mika 40 kk (kabla ya kristo). Mwamba yupo confident kabisa sijui hiyo bangi anayovuta imesindikwa wapi.
 
Punda wa wapi?..halafu kwa kiingereza punda na farasi wote huitwa ass,tofauti mkia,Sasa malaika Wana k au kong'oteo!?

Wewe uliwahi waona MALAIKA Mpaka ukatae au ukubali?

Hizô NI Stori tuu. Ndio maana nikakuambia kama mtunzi WA KITABU unachokipenda aliamua au uelewa wake uliishia kwèñye Malaika Hana jinsia hiyo haimaanishi watunzi na vitabu vingine viliishia katika uelewa WA mtunzi wako.

Kuhusu kwèli au uongo hiyo Hakuna ajuaye
 
Punda wa wapi?..halafu kwa kiingereza punda na farasi wote huitwa ass,tofauti mkia,Sasa malaika Wana k au kong'oteo!?
Ndio, malaika wana kong'oteo ndio maana wanaume tuliumbwa kwa mfano wao.
 
Wa
Wakati hayo yanatokea Mungu Yesu alikua wapi?
 
Wa

Wakati hayo yanatokea Mungu Yesu alikua wapi?

Hizô NI hadithi Mkûu. Humu ndàni íwe Mimi, au wewe au yeyote Hakuna mwenye ukweli.

Na ûkiona yeyote humu anajifanya anaukweli WA mambo àmbayo hajashuhudia ujue anatatizo la msingi.

Nikikujibu Kwa Mujibu wa Biblia Yesu alikuwa MBINGUNI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…