Unekipata bure , uteee bureKwa nini unauza wakati unekipata bure
Mbona soft copy zipo kibao mitandaoni?hardcopy sina, fanya hivi nunua softcopy kwanza alafu nenda stationary ukaprinti
Nataka mkuuKitabu Cha Enoko ambacho hakipo kwenye biblia za sasa kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh, natuma WhatsApp ni PDF muundo, nicheki WhatsApp 0756704145, napatikana Dar es salaam, Mbezi
Ungeweka kidogo ili tukipitie isijekuwa ni google translate maneno mengine ni kichwa chini miguu juuKitabu Cha Enoko ambacho hakipo kwenye biblia za sasa kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh, natuma WhatsApp ni PDF muundo, nicheki WhatsApp 0756704145, napatikana Dar es salaam, Mbezi
Mimi ninacho mkuu, kuna mwamba alikiweka humu humu jukwaanKitabu kipo vizuri hakuna shida nicheki 0756704145