Kitabu Cha enoko kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh

Kitabu Cha Enoko ambacho hakipo kwenye biblia za sasa kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh, natuma WhatsApp ni PDF muundo, nicheki WhatsApp 0756704145, napatikana Dar es salaam, Mbezi
Nataka mkuu
 
Ungeweka kidogo ili tukipitie isijekuwa ni google translate maneno mengine ni kichwa chini miguu juu
 
Kuna mwamba alikuwekaga humu buure tena hata bila kuombwa abarikiwe sana mtu yule nikikumbuka title nitaweka link humu sio sawa kufanyia ujasiriamali maandiko matakatifu
 
Kitabu kipo vizuri hakuna shida nicheki 0756704145
 
Kuwa siriasi kitabu cha mwenzio utuuzie na hela uchukue wewe . Ebo ☹️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…