johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kitabu cha Eric Kabendera kisizuiwe acha kiuzwe Ili Wananchi wapate ufahamu wa aina ya Waandishi wa Habari wa Tanzania
Hiyo story ya Magufuli kumpiga Risasi ya kichwa Ben ofisini ni story zilizotumiwa Mbeya wakati Ujambazi wa akina Jombi, Luhambati na Kipagati ukitikisa hadi Zambia na Malawi
Nakumbuka RC alikuwa Mramba na RPC alikuwa Mwema
Kitabu cha Eric Kabendera kimejaa story za intelejensia Saikolojia ya udhibiti wa Kundi la Jombi nyakati hizo
Acha watu wakisome na hata Tundu Lisu akisome vizuri sana
Niishie hapo
Happy New Year 😄