johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo haiwezi kuja tena tanzania.......... rais akampiga mu risasiKitabu cha Eric Kabendera kisizuiwe acha kiuzwe Ili Wananchi wapate ufahamu wa aina ya Waandishi wa Habari wa Tanzania
Hiyo story ya Magufuli kumpiga Risasi ya kichwa Ben ofisini ni story zilizotumiwa Mbeya wakati Ujambazi wa akina Jombi, Luhambati na Kipagati ukitikisa hadi Zambia na Malawi
Nakumbuka RC alikuwa Mramba na RPC alikuwa Mwema
Kitabu cha Eric Kabendera kimejaa story za intelejensia Saikolojia ya udhibiti wa Kundi la Jombi nyakati hizo
Acha watu wakisome na hata Tundu Lisu akisome vizuri sana
Niishie hapo
Happy New Year π
wanasahau kuwa kwenye hao mashushu so called TISS kuna ndugu na watu ambao hawapendezwi na kinachoendelea ie kuua watu...watasema wakati ukifika ambao watakuwa safe kusema johnthebaptistMlidhani siri itajificha milele?
Kama sio kweli hofu ya nini? Fahamu kuwa mtu huvuna alichopanda.Kitabu cha Eric Kabendera kisizuiwe acha kiuzwe Ili Wananchi wapate ufahamu wa aina ya Waandishi wa Habari wa Tanzania
Hiyo story ya Magufuli kumpiga Risasi ya kichwa Ben ofisini ni story zilizotumiwa Mbeya wakati Ujambazi wa akina Jombi, Luhambati na Kipagati ukitikisa hadi Zambia na Malawi
Nakumbuka RC alikuwa Mramba na RPC alikuwa Mwema
Kitabu cha Eric Kabendera kimejaa story za intelejensia Saikolojia ya udhibiti wa Kundi la Jombi nyakati hizo
Acha watu wakisome na hata Tundu Lisu akisome vizuri sana
Niishie hapo
Happy New Year π
Kisipozuiwa maana yake ni source halali kufanyiwa referenceKitabu cha Eric Kabendera kisizuiwe acha kiuzwe Ili Wananchi wapate ufahamu wa aina ya Waandishi wa Habari wa Tanzania
Hiyo story ya Magufuli kumpiga Risasi ya kichwa Ben ofisini ni story zilizotumiwa Mbeya wakati Ujambazi wa akina Jombi, Luhambati na Kipagati ukitikisa hadi Zambia na Malawi
Nakumbuka RC alikuwa Mramba na RPC alikuwa Mwema
Kitabu cha Eric Kabendera kimejaa story za intelejensia Saikolojia ya udhibiti wa Kundi la Jombi nyakati hizo
Acha watu wakisome na hata Tundu Lisu akisome vizuri sana
Niishie hapo
Happy New Year π
Kitabu cha Eric Kabendera kisizuiwe acha kiuzwe Ili Wananchi wapate ufahamu wa aina ya Waandishi wa Habari wa Tanzania
Hiyo story ya Magufuli kumpiga Risasi ya kichwa Ben ofisini ni story zilizotumiwa Mbeya wakati Ujambazi wa akina Jombi, Luhambati na Kipagati ukitikisa hadi Zambia na Malawi
Nakumbuka RC alikuwa Mramba na RPC alikuwa Mwema
Kitabu cha Eric Kabendera kimejaa story za intelejensia Saikolojia ya udhibiti wa Kundi la Jombi nyakati hizo
Acha watu wakisome na hata Tundu Lisu akisome vizuri sana
Niishie hapo
Happy New Year π
Huijui Mifumo weweKwahiyo haiwezi kuja tena tanzania.......... rais akampiga mu risasi
WHY IDI AMIN MURDERED BISHOP JANANI LUWUM
View: https://youtu.be/80hmeyLyvb0
Wazungu hawasomi tena PhD Siku Hizi Kwa sababu Dunia Haina Kitu kipya tena πππjohnthebaptist for your information Eric anasoma PhD London! Siyo Cuba
Unaelewa spirit ya askari lakini?wanasahau kuwa kwenye hao mashushu so called TISS kuna ndugu na watu ambao hawapendezwi na kinachoendelea ie kuua watu...watasema wakati ukifika ambao watakuwa safe kusema johnthebaptist
Unadhani wanaompa hiyo Silaha atembee nayo ni Wajinga? πΌKabendera siyo mjinga aje na story ya kutunga.
Ukitembea au kumiliki silaha kuna siku utaitumia. Sasa utaitumiaje hilo ni swala jingine.
Hiyo ni Utopia.Huijui Mifumo wewe
Katika dunia hii Kuna brain inatafutwa sana pale UK wanarefer kama Unknown Worrier
Watu kama Ben au Soka hata Mdude hawawezi Kuuliwa bali wanaingizwa kundi la Wazalendo Ili walisaidie taifa badala ya kumsaidia Mtu mmoja hapo Machame
Sidhani kama utaelewa πΌπ
Happy New Year
Kusoma PhD ndio kuwa na akili mbona wewe umechoka sana kiakili kama jina linavyojinasibu?johnthebaptist for your information Eric anasoma PhD London! Siyo Cuba
Muulize mama yako kama mimechoka. Ningechoka ungelizaliwaKusoma PhD ndio kuwa na akili mbona wewe umechoka sana kiakili kama jina linavyojinasibu?
Crap!!Muulize mama yako kama mimechoka. Ningechola ungelizaliwa
Nimesema mara zote sitaki kejeli, matusi. Kama unaoma huwezi.kujinu hoja pita zako
Unadhani wanaompa hiyo Silaha atembee nayo ni Wajinga? πΌ
Usione vyaelea
Watanzania wenyewe wanaojua kiingereza wako wangapiKitabu cha Eric Kabendera kisizuiwe acha kiuzwe Ili Wananchi wapate ufahamu wa aina ya Waandishi wa Habari wa Tanzania