Kitabu cha Eric Kabendera ni Ushahidi wa Umbumbumbu wa Waandishi wa Tanzania. Hiyo story ni ya Jombi jambazi wa Mbeya enzi zetu, Lissu jifunze Kitu!

Mimi nilikuwa Uganda by those days...........................maiti zilikuwa zinaelea mto Kagera kwa macho yangu naziona. Alipoanza kuwa agressive na Tanzania tukarudi ...
Kwa kweli kuna mengi ya kweli yalitokea huko na alikuwa katili sana na inakadiriwa waliuwawa watu wengi sana
Yaani jamaa alikuwa na maamuzi ya kijinga sana Kama Mugabe tu
 
Msajili wa vyama vya siasa akikifuta hiki chama cha chadema ni sawa tu . chadema wana cheza drama za hovyo.
 
Watanzania tumegubikwa na ujinga usio kifani. Haupimiki, hauelezeki. Ni lazima tuwe makini na vyombo vya habari kwa sababu chombo Cha habari Ni rafiki ya jamii. Lkn taaluma hii iko kibiashara, so aina ya ujenzi wa jamii inayotarajiwa hutegemea Nia na madhumuni ya waandishi ambao baadhi yao wamekuwa punguani na machawa.

Ni Nani wakuikoa nchi ya Tanzania kwa sasa? Inasikitisha kuona......!
Basi inatosha.
 
Wewe ni mmoja wa watetea maovu nchini na usipochukuliwa hatua basi ulimwengu na vilivyopo vitakuchulia hatua siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…