Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Hivi kabendera yupo uhamishoni au yupo kea mishe zake tu atarudi Nchini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko uhamishoni.Hivi kabendera yupo uhamishoni au yupo kea mishe zake tu atarudi Nchini?
Wa kwanza kuficha aibu ya nchi walitakiwa wawe viongozi, huwezi kuwabambikia watu kesi matukio ya mauaji yanafanyika & watu wanapotea then waandishi wakiyaandika haya mnasema wanaexpose nchi.Waandishi wa nchi zingine hujaribu sana kuficha aibu ya nchi zao. Natolea mfano wa jambo moja, wakati Osama na Alqaeda walivopiga Pentagon na world trade center, kuna chombo chochote cha habari cha USA kiliandika kuhusu Wayahudi
Swali langu ni rahisi sana; Kabendera aliwekwa mahabusu kwa kosa gani? Simuungi mkono Magu kwa matendo yake ya kikatiri lakini pia siungi mkono tabia za Kabendera as well.Wa kwanza kuficha aibu ya nchi walitakiwa wawe viongozi, huwezi kuwabambikia watu kesi matukio ya mauaji yanafanyika & watu wanapotea then waandishi wakiyaandika haya mnasema wanaexpose nchi.
Mfano wako sidhani kama upo sahihi USA walishambuliwa shambulio la kigaidi na adui kutoka nje Kwa namna flani media kuficha baadhi ya taarifa ilikua sahihi lakini hili kiongozi wa ndani ya nchi kuua raia ni sahihi kua exposed
Usiwe zumbukuku, huyo Kigogo unayemuamini mara kibao tu amepost taarifa za uongo.Kipindi Cha magufuli Kila step kigogo alikua anavujisha, yeye mwenyewe alijua Kuna leaks kwenye circle yake ya karibu, ni mjinga tu anaweza kuamini kua na resources zote at hand alizonazo Bado alimuita saa 8 ikulu eti akamshoot point blank.... Hizo habari kina kigogo isingepita hata Lisaa wangekua nazo
Hilo la kosa lake sijalizungumzia mi nimetarget sehemu ya maelezo yako kwamba waandishi wanakosea kuibua baadhi ya mambo kwa kisingizio Cha kuficha aibu za nchiSwali langu ni rahisi sana; Kabendera aliwekwa mahabusu kwa kosa gani? Simuungi mkono Magu kwa matendo yake ya kikatiri lakini pia siungi mkono tabia za Kabendera as well.
Kwani hiki ndio kitabu kipya cha aina hii kuandikwa Tanzania au sasa hivi tumefahamu kwa urahisi kwa sababu ya teknolojia ya Kidigititali Kuwepo ?Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT "
Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa watu ambao hakupaswa kujua nini kilitokea.
Watawala wataanza kujiuliza: Kama ya Mwendake yametoka hadharani, ya kwetu hayajatoka au hayatatoka siku tukitoka madarakani?
Watawala kwa sasa wako shocked na wamevurugwa na ndio maana wako kimya hawajui wa-react vipi na itawachukua muda kabla ya kutoa mwongozo wa namna ya kujibu hizi tuhuma.
Ukimya huu unanifanya niamini aliyoyaandika Kabendera yana ukweli hata kama sio yote. Vinginevyo, wangeshatoka hadharani kukanusha na pengine hata kuitaka serikali ya Uingereza imrudishe Kabendera nyumbani aje ajibu tuhuma hizi.
Jiulizeni inakuwaje Bi. Mkubwa nae katajwa katika hiki kitabu kuwa Mwendake alitaka kumfanyia jambo baya ila mpaka sasa hakuna alietoka kukanusha ?Mnafikiri ni hivi hivi tu?
Hivyo, ukimya huu una jambo nyuma yake na si ajabu baada ya muda baadhi ya watu wakaondolewa kwenye nafasi zao na wengine kupotezwa kimya kimya.
Kitabu hiki cha Kabendera, kinaweza kuleta mapinduzi makubwa katika vita hii ya kupinga vitendo vya utekaji na mauji.
Nashawishika kuamini kuwa Kitabu hiki kingetoka mapema, huenda kina Mzee Kibao na wengine waliouwawa au kupotea yasingewakuta yaliyowakuta.
Binafsi, kitabu hiki nakiona ni silaha ya ushindi katika vita ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji hapa nchini.
Tundu Lissu and Erick Kabendera, they both survived assassination attempts not to continue living, but to fulfil God's mission.
Hope hilo swali likijibiwa utagundua kwamba Magufuli alikua sahihi. Anyway, tuendelee na ukatiri wa Magufuli ambaobof course is not even something to debate about it, it is obvious kwamba JPM alikua katiri. Wengine wanamwita dictator, nitajieni nchi yoyote duniani ambayo imeendelea na ilianza na viongozi wenye kuongoza kidemokrasia? Mention one. Tofauti na madikteta wengine wa Kiafrica na Magufuli, wengine wanafanya ukatiri kwa maslahi yao binafsi, Magufuli kafanya mengi kwa nchi yake.Hilo la kosa lake sijalizungumzia mi nimetarget sehemu ya maelezo yako kwamba waandishi wanakosea kuibua baadhi ya mambo kwa kisingizio Cha kuficha aibu za nchi
Maendeleo ni nini?Hope hilo swali likijibiwa utagundua kwamba Magufuli alikua sahihi. Anyway, tuendelee na ukatiri wa Magufuli ambaobof course is not even something to debate about it, it is obvious kwamba JPM alikua katiri. Wengine wanamwita dictator, nitajieni nchi yoyote duniani ambayo imeendelea na ilianza na viongozi wenye kuongoza kidemokrasia? Mention one. Tofauti na madikteta wengine wa Kiafrica na Magufuli, wengine wanafanya ukatiri kwa maslahi yao binafsi, Magufuli kafanya mengi kwa nchi yake.
Hivi sikuhizi jamaa kigogo yupo wapi?Kipindi Cha magufuli Kila step kigogo alikua anavujisha, yeye mwenyewe alijua Kuna leaks kwenye circle yake ya karibu, ni mjinga tu anaweza kuamini kua na resources zote at hand alizonazo Bado alimuita saa 8 ikulu eti akamshoot point blank.... Hizo habari kina kigogo isingepita hata Lisaa wangekua nazo
Ujinga zaidi ni kuamini Magufuli angeweza kumuua mtu kwa sababu amekosoa "credibility" ya PhD yake.Kipindi Cha magufuli Kila step kigogo alikua anavujisha, yeye mwenyewe alijua Kuna leaks kwenye circle yake ya karibu, ni mjinga tu anaweza kuamini kua na resources zote at hand alizonazo Bado alimuita saa 8 ikulu eti akamshoot point blank.... Hizo habari kina kigogo isingepita hata Lisaa wangekua nazo
Ukikumbuka kwamba kila unachofanya kinahifadhiwa na siku moja kitasimuliwa hadharani basi lazima uogope kidogo.Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT "
Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa watu ambao hakupaswa kujua nini kilitokea.
Watawala wataanza kujiuliza: Kama ya Mwendake yametoka hadharani, ya kwetu hayajatoka au hayatatoka siku tukitoka madarakani?
Watawala kwa sasa wako shocked na wamevurugwa na ndio maana wako kimya hawajui wa-react vipi na itawachukua muda kabla ya kutoa mwongozo wa namna ya kujibu hizi tuhuma.
Ukimya huu unanifanya niamini aliyoyaandika Kabendera yana ukweli hata kama sio yote. Vinginevyo, wangeshatoka hadharani kukanusha na pengine hata kuitaka serikali ya Uingereza imrudishe Kabendera nyumbani aje ajibu tuhuma hizi.
Jiulizeni inakuwaje Bi. Mkubwa nae katajwa katika hiki kitabu kuwa Mwendake alitaka kumfanyia jambo baya ila mpaka sasa hakuna alietoka kukanusha ?Mnafikiri ni hivi hivi tu?
Hivyo, ukimya huu una jambo nyuma yake na si ajabu baada ya muda baadhi ya watu wakaondolewa kwenye nafasi zao na wengine kupotezwa kimya kimya.
Kitabu hiki cha Kabendera, kinaweza kuleta mapinduzi makubwa katika vita hii ya kupinga vitendo vya utekaji na mauji.
Nashawishika kuamini kuwa Kitabu hiki kingetoka mapema, huenda kina Mzee Kibao na wengine waliouwawa au kupotea yasingewakuta yaliyowakuta.
Binafsi, kitabu hiki nakiona ni silaha ya ushindi katika vita ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji hapa nchini.
Tundu Lissu and Erick Kabendera, they both survived assassination attempts not to continue living, but to fulfil God's mission.
Mapenzi ya wananchi mitaani dhidi ya JPM ni makubwa sana, na raia wamejua meeengi kuliko walivyokuwa wakidanganywa.
Fikra za raia wengi kutaka binadamu wa jamii ya JPM aiongoze tena hii nchi ndio woga ulipo kuanzia ndani na nje ya nchi.
JPM ameonyesha madhaifu mengi ya waliomtangulia wanaoamini wao ni the best, hii imewajaza nongwa na kupambana kwa hali na mali kuwaonyesha JPM hakuwa kitu.
Bahati amelala hawezi kujitetea na wahusika wanapigana na marehemu ( udhaifu mkubwa kwao na ushindi mkubwa kwa JPM)🥵
Uchunguzi ndio ambao ungesema ukweli. Hayo.l mengine unaimba ngonjera tuMapenzi ya wananchi mitaani dhidi ya JPM ni makubwa sana, na raia wamejua meeengi kuliko walivyokuwa wakidanganywa.
Fikra za raia wengi kutaka binadamu wa jamii ya JPM aiongoze tena hii nchi ndio woga ulipo kuanzia ndani na nje ya nchi.
JPM ameonyesha madhaifu mengi ya waliomtangulia wanaoamini wao ni the best, hii imewajaza nongwa na kupambana kwa hali na mali kuwaonyesha JPM hakuwa kitu.
Bahati amelala hawezi kujitetea na wahusika wanapigana na marehemu ( udhaifu mkubwa kwao na ushindi mkubwa kwa JPM)
Si kazi ya serikali kujibu unsubstantiated allegations.Sasa ndio ujiulize kwanini serikali mpaka sasa iko kimya?Tuhuma kama hizi wanawezaje kukaa kimya? Ni wazi huenda kuna ukweli kwa baadhi ya mambo na ndio maana kuna kigugumuzi hata tu cha kukanusha au kuhoji ukweli wa yaliyoandikwa.
Wacha kupotosha. Nani kakuambia Magufuli alimuita Saanane Ikulu?Kipindi Cha magufuli Kila step kigogo alikua anavujisha, yeye mwenyewe alijua Kuna leaks kwenye circle yake ya karibu, ni mjinga tu anaweza kuamini kua na resources zote at hand alizonazo Bado alimuita saa 8 ikulu eti akamshoot point blank.... Hizo habari kina kigogo isingepita hata Lisaa wangekua nazo
Ongeza nyama kidogo ndugu wengine tuko gizanWacha kupotosha. Nani kakuambia Magufuli alimuita Saanane Ikulu?
Saanane alitekwa na kupelekwa Ikulu. Wakati wa mahojiano Mwendazake alipata hasira na kufyatua bastola yake.
Dogo nenda kasome kitabu cha "The Prince" by Nicollo Machiavelli utaelewa maana ya uongozi na utendaji kazi wake.Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT "
Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa watu ambao hakupaswa kujua nini kilitokea.
Watawala wataanza kujiuliza: Kama ya Mwendake yametoka hadharani, ya kwetu hayajatoka au hayatatoka siku tukitoka madarakani?
Watawala kwa sasa wako shocked na wamevurugwa na ndio maana wako kimya hawajui wa-react vipi na itawachukua muda kabla ya kutoa mwongozo wa namna ya kujibu hizi tuhuma.
Ukimya huu unanifanya niamini aliyoyaandika Kabendera yana ukweli hata kama sio yote. Vinginevyo, wangeshatoka hadharani kukanusha na pengine hata kuitaka serikali ya Uingereza imrudishe Kabendera nyumbani aje ajibu tuhuma hizi.
Jiulizeni inakuwaje Bi. Mkubwa nae katajwa katika hiki kitabu kuwa Mwendake alitaka kumfanyia jambo baya ila mpaka sasa hakuna alietoka kukanusha ?Mnafikiri ni hivi hivi tu?
Hivyo, ukimya huu una jambo nyuma yake na si ajabu baada ya muda baadhi ya watu wakaondolewa kwenye nafasi zao na wengine kupotezwa kimya kimya.
Kitabu hiki cha Kabendera, kinaweza kuleta mapinduzi makubwa katika vita hii ya kupinga vitendo vya utekaji na mauji.
Nashawishika kuamini kuwa Kitabu hiki kingetoka mapema, huenda kina Mzee Kibao na wengine waliouwawa au kupotea yasingewakuta yaliyowakuta.
Binafsi, kitabu hiki nakiona ni silaha ya ushindi katika vita ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji hapa nchini.
Tundu Lissu and Erick Kabendera, they both survived assassination attempts not to continue living, but to fulfil God's mission.
Kipindi Cha magufuli Kila step kigogo alikua anavujisha, yeye mwenyewe alijua Kuna leaks kwenye circle yake ya karibu, ni mjinga tu anaweza kuamini kua na resources zote at hand alizonazo Bado alimuita saa 8 ikulu eti akamshoot point blank.... Hizo habari kina kigogo isingepita hata Lisaa wangekua nazo
Naunga mkono hoja.Hiki kitabu kiingizwe kwenye mitaala