Kitabu cha Erick Kabendera huenda kikafanya vitendo vya utekaji na mauji vikapungua kama sio kwisha kabisa

Waandishi wa nchi zingine hujaribu sana kuficha aibu ya nchi zao. Natolea mfano wa jambo moja, wakati Osama na Alqaeda walivopiga Pentagon na world trade center, kuna chombo chochote cha habari cha USA kiliandika kuhusu Wayahudi
Wa kwanza kuficha aibu ya nchi walitakiwa wawe viongozi, huwezi kuwabambikia watu kesi matukio ya mauaji yanafanyika & watu wanapotea then waandishi wakiyaandika haya mnasema wanaexpose nchi.

Mfano wako sidhani kama upo sahihi USA walishambuliwa shambulio la kigaidi na adui kutoka nje Kwa namna flani media kuficha baadhi ya taarifa ilikua sahihi lakini hili kiongozi wa ndani ya nchi kuua raia ni sahihi kua exposed
 
Swali langu ni rahisi sana; Kabendera aliwekwa mahabusu kwa kosa gani? Simuungi mkono Magu kwa matendo yake ya kikatiri lakini pia siungi mkono tabia za Kabendera as well.
 
Usiwe zumbukuku, huyo Kigogo unayemuamini mara kibao tu amepost taarifa za uongo.
 
Swali langu ni rahisi sana; Kabendera aliwekwa mahabusu kwa kosa gani? Simuungi mkono Magu kwa matendo yake ya kikatiri lakini pia siungi mkono tabia za Kabendera as well.
Hilo la kosa lake sijalizungumzia mi nimetarget sehemu ya maelezo yako kwamba waandishi wanakosea kuibua baadhi ya mambo kwa kisingizio Cha kuficha aibu za nchi
 
Kwani hiki ndio kitabu kipya cha aina hii kuandikwa Tanzania au sasa hivi tumefahamu kwa urahisi kwa sababu ya teknolojia ya Kidigititali Kuwepo ?
 
Hilo la kosa lake sijalizungumzia mi nimetarget sehemu ya maelezo yako kwamba waandishi wanakosea kuibua baadhi ya mambo kwa kisingizio Cha kuficha aibu za nchi
Hope hilo swali likijibiwa utagundua kwamba Magufuli alikua sahihi. Anyway, tuendelee na ukatiri wa Magufuli ambaobof course is not even something to debate about it, it is obvious kwamba JPM alikua katiri. Wengine wanamwita dictator, nitajieni nchi yoyote duniani ambayo imeendelea na ilianza na viongozi wenye kuongoza kidemokrasia? Mention one. Tofauti na madikteta wengine wa Kiafrica na Magufuli, wengine wanafanya ukatiri kwa maslahi yao binafsi, Magufuli kafanya mengi kwa nchi yake.
 
Maendeleo ni nini?
 
Hivi sikuhizi jamaa kigogo yupo wapi?
 
Ujinga zaidi ni kuamini Magufuli angeweza kumuua mtu kwa sababu amekosoa "credibility" ya PhD yake.
 
Ukikumbuka kwamba kila unachofanya kinahifadhiwa na siku moja kitasimuliwa hadharani basi lazima uogope kidogo.
 
 
Uchunguzi ndio ambao ungesema ukweli. Hayo.l mengine unaimba ngonjera tu
 
Sasa ndio ujiulize kwanini serikali mpaka sasa iko kimya?Tuhuma kama hizi wanawezaje kukaa kimya? Ni wazi huenda kuna ukweli kwa baadhi ya mambo na ndio maana kuna kigugumuzi hata tu cha kukanusha au kuhoji ukweli wa yaliyoandikwa.
Si kazi ya serikali kujibu unsubstantiated allegations.
 
Wacha kupotosha. Nani kakuambia Magufuli alimuita Saanane Ikulu?
Saanane alitekwa na kupelekwa Ikulu. Wakati wa mahojiano Mwendazake alipata hasira na kufyatua bastola yake.
 
O
Wacha kupotosha. Nani kakuambia Magufuli alimuita Saanane Ikulu?
Saanane alitekwa na kupelekwa Ikulu. Wakati wa mahojiano Mwendazake alipata hasira na kufyatua bastola yake.
Ongeza nyama kidogo ndugu wengine tuko gizan
 
Dogo nenda kasome kitabu cha "The Prince" by Nicollo Machiavelli utaelewa maana ya uongozi na utendaji kazi wake.
 

..kama madai hayo ni ya uongo basi huu ndio wakati wa watu wa Magufuli kujitokeza na kumtaja aliyemuua Ben Saanane badala ya kuacha mpendwa wao achafuliwe kiasi hiki.

..haiwezekani kumsafisha Magufuli na tuhuma za Kabendera, bila serikali kumtaja, na kutoa USHAHIDI USIO NA MASHAKA, kuhusu nani alimuua Ben Saanane.

..Sirro, Kipilimba, Doto James, Humphrey Polepole, Paul Makonda, wote wako kimya kwanini hawamtetei bosi wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…