Mfugaji123
New Member
- Apr 3, 2020
- 4
- 42
Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa bili kupitia mtandao wa internet . Idadi hii inatazamiwa kuongezeka. Pia kuongezeka kwa idadi ya watu wanaotumia internet nchini ni fursa kubwa nchini. Kutokana taarifa ya TCRA Tanzania ina watumiaji wa milioni 35.9 ( Taarifa ya December 2023)
Kitabu kimelenga kufungua macho wafanyabiashara na wajasiriamali wanaotaka kufanya biashara kwenye internet
YALIYOM0:
1: Ujasiriamali wa Kidijiti
2:Umuhimu wa internet
3: Aina mbali mbali za Biashara za kufanya kwenye internet
4:Mbinu za mbali za kutengeneza pesa Facebook, Instagram, X, YouTube na kwenye majukwa mengine Boomplay, Tindal , Spotify etc.
5: Jinsi ya kufanya affiliate marketing, Drop shopping. Jinsi ya kufanya kazi za freelancing kwenye internent.
6:
Jinsi ya kuuza audio au video za story/ comedy, muziki, tamthiliya n.k. Jinsi ya kutangaza bidhaa ili kupata wateja
Kitabu: Soft copy page 34
Bei: Tsh 5000
Mwandish : Emanuel Mkika( Mjasiriamtandao kwamiaka takribani 10
Wasiliana nasi: 0621106923