Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Katika vitabu vyote vilivyopata kuandikwa kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika na historia ya TANU, kitabu kilichokaribu na ukweli ni hiki kitabu cha Lady Judith Listowel.
Siku chache zilizopita hapa Majlis nilieleza historia ya kitabu hiki na mwandishi wake.
Siku chache zilizopita nilitembelewa na rafiki yangu mmoja kutoka Ulaya na yeye ni mfuatiliaji sana ya niandikayo basi katika mazungumzo akaniuliza kuhusu kitabu cha Judith Listowel na akataka kujua atakipataje hapa nyumbani.
Nikamfahamisha kuwa atakipata Zanzibar na hili kwake liikawa jambo lenye ugumu maana alikuwa anarejea Ulaya.
Nikamshauri ajaribu Amazon.
Naam juzi kanirushia picha ya kitabu keshakipata kutoka Amazon tena, ''original print,'' ya 1965.
Nimeona nanyi wanaBarza mkitie machoni hiki kitabu adimu.
R&eid=ARCZ7DggR1n5v07gHSc7RRpKHhAP4PG2VThRHoWxMFg1HYS8C63TCHwbV7ePnjWy1dUQB1eI7ozQ3_D2
