Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Watu wamesikia tu Kabendera kaandika kitabu wanaanza kukijadili.
Nadhani ingekuwa bora kusubiri wakisome kwanza hicho kitabu.
Sasa hivi Serikali itakuwa inafikiria ichukue hatua gani kuhusu hicho kitabu.
Mpaka hapo,watu wawe na subira.
Vinginevyo katika kuzungumza maneno mengi bila kuwa na habari kamili yanaweza kutokea mambo ambayo hatutaki yatokee.
Hakuna jambo.
Hili ni jambo ambalo tumelijadili hapa JF miezi michache baada ya Magufuli kuingia Ikulu:
Kwamba:Je CCM ilimchagis Magufuli bila kufahamu Magufuli ni mtu wa namba gani?
Tukafikia uamuzi kwamba Magufuli alikuwa anafamika sana na CCM wamemchagua kwa makusudi isipokuwa labda sasa hivi everyone has been taken by surprise with all the Stalinism that is happening.
Nimekutana na Magufuli siku moja.
Nikamwambia nimekusikia unasema unataka kuwachapa viboko makandarasi wajeuri.
Akasema,"Yale mambo nimesema nilikuwa natania tu."
Nikamwambia ulikuwa unatania vipi,wewe umesema unataka kuwachapa viboko wakandarasi wajeuri. Acha,Bwana.
Akasema," Okay, I will be more careful in the future."
Ilikuwa rahisi kuongea naye namba hivyo kwa sababu wakati ule alikuwa Waziri.
Sasa sijui kwa nini huyu Eric Kabendera analalamika kwamba ameteswa,kwa sababu even in our most holy book, the Blessed Holy Bible imeandikwa kwamba watu wajeuri lazima wachapwe viboko.
I do not know the exact page where it is written,but it is there.