Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,112 Reaction score 34,951 Aug 31, 2026 #1 Your browser is not able to display this video. Hiki Kitabu chekundu ni Hatari sana kukishika.
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,112 Reaction score 34,951 Aug 31, 2026 Thread starter #2 Your browser is not able to display this video. Osia Wa Baba wa Taifa Hayati Mwalim Nyerere.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Aug 31, 2026 #3 Hii inatokana na kumteua mtu ambaye hakutegemea, hajiamini na anaiogopa kazi. Ukirudi kuangalia Frederick Sumaye anaapishwa kuwa Waziri Mkuu ni hivyo hivyo.
Hii inatokana na kumteua mtu ambaye hakutegemea, hajiamini na anaiogopa kazi. Ukirudi kuangalia Frederick Sumaye anaapishwa kuwa Waziri Mkuu ni hivyo hivyo.
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 2,863 Reaction score 6,041 Sep 8, 2026 #4 Kijana bado hajakomaa nafsi
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,496 Reaction score 51,721 Sep 8, 2026 #5 darubin ya mbao said: Kijana bado hajakomaa nafsi Click to expand... Unaweza kuwa unaapa kwa ajili ya kukiendea kifo chako au kuwa na mwisho mbaya. Ni halali atetemeke
darubin ya mbao said: Kijana bado hajakomaa nafsi Click to expand... Unaweza kuwa unaapa kwa ajili ya kukiendea kifo chako au kuwa na mwisho mbaya. Ni halali atetemeke
Texas Tiger JF-Expert Member Joined Nov 5, 2022 Posts 730 Reaction score 1,848 Sep 8, 2026 #6 Niliona video moja dada fulani alikuwa anatoa hotuba/ushahidi sehemu sikumbuki vizuri aisee alikuwa anatetemeka mwili mzima kwa nguvu. Nadhani hii inaletwa na hofu, watu wengi wanakuangalia, unaogopa utakosea etc. Kitabu hakina chochote.
Niliona video moja dada fulani alikuwa anatoa hotuba/ushahidi sehemu sikumbuki vizuri aisee alikuwa anatetemeka mwili mzima kwa nguvu. Nadhani hii inaletwa na hofu, watu wengi wanakuangalia, unaogopa utakosea etc. Kitabu hakina chochote.