Kitabu cha kiapo kimemtetemesha Ndejembi Wakati akila kiapo cha Makamu wa Rais

Niliona video moja dada fulani alikuwa anatoa hotuba/ushahidi sehemu sikumbuki vizuri aisee alikuwa anatetemeka mwili mzima kwa nguvu.

Nadhani hii inaletwa na hofu, watu wengi wanakuangalia, unaogopa utakosea etc.

Kitabu hakina chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…