Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Kuna haja ya mzee wetu wa kaya kwenda kujifunza kwa rais Lee wa Singapore ambaye aliandika kitabu kuhusu hatua ambayo nchi kama zetu zinaweza kuchukua ili kupiga hatua kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bill Clinton aliwaambia WaRwanda kuwa:
"Kama mkikaa mezani na kuongea, hakuna uhakika kama mtakubaliana, ila msipokaa hiyo ni asilimia 100 kuwa hamtapatana..."
Hakuna anayesema tukimpa asome atabadilika. Ila kutokufanya hivyo ni asilimia mia moja kuwa ataendelea kwenda kufungua hotel za Kempinski na huku akidanganywa kwenda kufungua madaraja ambayo hayajaisha bado.
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Labda hiki kitabu chaweza kuwa ndiyo tundu letu bovu!!!!!