mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF
Kumekuwa na lundo la viongozi wakitoa lawama nyingi kuzielekeza kwa mwendambinguni ikiwa ni sehemu ya kukwepea majukumu waliopewa wakashindwa kuyatimiza kwa wakati. Kwa sasa kila kukicha tunapata lawama mpya , jambo baya sana tangu JPM aondoke duniani yapata mwaka na miezi, hawa jamaa hawaachi kutoa lawama.
Ifike hatua mwezi huu uwe wa mwisho kwa wanaolalama baada ya kuharibu kuwa walishinikizwa na mwendambingu kufanya madudu au kukwamisha vitu.