mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Kila anayeharibu idala yake anamsingizia mwendazake. Masikio yamechoshwaYote CCM ni mabovu tupu
Si ilikuwa awamu ya kishindo au masikio yangu yalikuwa mabovu?
Tena ikibidi ashitakiwe hukohuko kaburiniKwanini kifungwe? Kiendelea Kusomwa ili iwe Fundisho kwa Viongozi wa Aina ya MWENDAZAKE
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mwaka mzima na miezi tunaongelea mtu mmoja bila kumwacha abaki na hukumu moja au asubiri cheo alichoomba cha mkuu wa malaikaKwanini kifungwe? Kiendelea Kusomwa ili iwe Fundisho kwa Viongozi wa Aina ya MWENDAZAKE
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Bado mapema mpaka ipite miaka 10. Baadhi ya athari zina na zita endelea kwa muda.Wana JF
Kumekuwa na lundo la viongozi wakitoa lawama nyingi kuzielekeza kwa mwendambinguni ikiwa ni sehemu ya kukwepea majukumu waliopewa wakashindwa kuyatimiza kwa wakati. Kwa sasa kila kukicha tunapata lawama mpya , jambo baya sana tangu JPM aondoke duniani yapata mwaka na miezi, hawa jamaa hawaachi kutoa lawama.
Ifike hatua mwezi huu uwe wa mwisho kwa wanaolalama baada ya kuharibu kuwa walishinikizwa na mwendambingu kufanya madudu au kukwamisha vitu.
Kwa mazuri asifiwe tu si kama yule aliyemfunga mbowe kwa kesi feki mbowe anatoka anamsifiaIla kibaki kitabu cha kumsifu na kumtukuza mzee chuma
Kafunge kwa Hitler kwanza.Wana JF
Kumekuwa na lundo la viongozi wakitoa lawama nyingi kuzielekeza kwa mwendambinguni ikiwa ni sehemu ya kukwepea majukumu waliopewa wakashindwa kuyatimiza kwa wakati. Kwa sasa kila kukicha tunapata lawama mpya , jambo baya sana tangu JPM aondoke duniani yapata mwaka na miezi, hawa jamaa hawaachi kutoa lawama.
Ifike hatua mwezi huu uwe wa mwisho kwa wanaolalama baada ya kuharibu kuwa walishinikizwa na mwendambingu kufanya madudu au kukwamisha vitu.
Hawa waliwekwa kama washauri wakageuka wasifiaji taifa likatumbukizwa kuzimu sasa wanaamka na lawama kukwepa lawama au kumsifia mama eti anafungua njia. Mama anavuna hela anashindwa kukopesha wakulimaNi ujinga kulaumu hayati wakati alitoka chama kilekile CCM na watu na sera ni zile zile na waziri mkuu ni yule yule na makamu wa rais ni yule yule ambae sasa ndio rais na wabunge walewale
Ok , Peleka muswada huu ukajadiliwe jinsi ya kuwafunga hao wanaomponda na kumsingizia mwendazake.Wana JF