Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Mbuli...kaka Mohamed Said sijaona tanzia ya nguli Mohamed Rajabu,naisubiri.
Iko hapa JF kitambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuli...kaka Mohamed Said sijaona tanzia ya nguli Mohamed Rajabu,naisubiri.
kaka Mohamed Said sijaona tanzia ya nguli Mohamed Rajabu,naisubiri.
Hakika tumepoteza mwalimu wa pekee na mchambuzi mahiri wa masuala mbalimbali duniani kote. Mara kadhaa tulikuwa tukichambua pamoja naye kupitia Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle - DW), kwenye kipindi cha maoni ya meza ya duara.BURIANI MWALIMU AHMED RAJABU ULITOSOMESHA WENGI VIJANA KWA KALAMU NA SAUTI
View attachment 3226446
Naanzia wapi kumueleza Ahmed Rajab?
Najiuliza.
Nianze nyumbani kwa rafiki na ndugu yangu Ahmed Maulid Mwanadiplomasia na Mtaalamu wa Kifaransa nilipomjulia Ahmed Rajab au nianze Heathrow London siku Ahmed Rajab alipokuja kunipokea?
Au nianze BBC aliponichukua na kunijulisha kwa watangazaji nguli wa Idhaa ya Kiswahili BBC, Bush House?
Au nianzie tukiwa tunatembea kwa miguu tukitokea kwenye treni za chini ya ardhi stesheni ya Charring Cross tunaelekea BBC Holborn?
Nianzie wapi mimi kumueleza kaka na mwalimu wangu Ahmed Rajab?
Nianzie kwenye ofisi za Africa Events au kwenye ofisi yake ya Africa Analysis iliyokuwa Barbican?
Miaka mingi sana imepita toka siku ya kwanza tuonane nyumbani kwa kwa Ahmed Maulid Masaki sote tulipoalikwa kwa chakula cha usiku.
Ahmed alikuja na rafiki yake, sasa marehemu Ali Said.
Ali Said tukijuana kabla na alikuwa akiishi Masaki kama mimi.
Kabla sijasonga mbele nataka msomaji wangu nikudokeze kuhusu hawa watu watatu niliowataja hapo juu.
Hapana hawa siyo, ‘’The Three Musketeers,’’ katika kitabu cha Alexander Dumas.
Hawa miaka ile walikuwa vijana wa Kizanzibari waliokuwa wanaijua dunia na hadhi na heshima ya nchi yao Zanzibar.
Nilikuwa kila nikizungumzanao mimi nakuwa darasani nasomeshwa.
Nilimjua Ahmed Rajab hapo nyumbani kwa Ahmed Maulid lakini nilikuwa nikimsoma sana katika Africa Events na Africa Now majarida yaliyokuwa yakichapwa London.
Makala za Ahmed Rajab zilituvutia vijana wengi wa wakati ule hasa baadhi yetu tuliokuwa tunaanza uandishi.
Ahmed Rajab alikuwa mwalimu wetu wa masafa marefu.
Mwaka wa 1991 nilikuwa na safari ya likizo nakwenda Glasgow, Scotland kumtembelea kaka yangu Prof. Mgone.
Yeye akisomesha University of Glasgow.
Nikamwambia rafiki yangu Ahmed Maulid kuwa nakwenda Uingereza na ningependa siku kama mbili tatu nikae London kisha niendelee na safari yangu kwenda Glasgow kwa kaka yangu lakini tatizo sina mwenyeji London nami ni mshamba sijafika Ulaya.
‘’Ahmed atakupokea nitamtaarifu.’’
Ahmed Maulid huyo.
‘’Hakuna shida atakupokea.’’
Sikuwa namjua Ahmed Rajab kwa kiasi hicho.
Nimemuona kwa muda mfupi nyumbani kwa somo yake Ahmed mwenzie na kidogo nikawa na wasiwasi.
Nimefika Heathrow watu wa Immigration wakanizuia kuingia tatizo lilikuwa pasi yangu imeingia nchi nyingi wanataka maelezo kote huko nakwenda kufanya nini?
Wametaka pia kujua nimekuja na fedha kiasi gani?
Fedha zangu mfukoni zilikuwa kidogo.
Vipi nitajikimu? Wanataka maelezo ya kueleweka.
Fedha nilikuwa nazo ndani ya Uingereza lakini kwa hali ya nyakati zile naogopa kueleza kuwa nina fedha Uingereza.
Huu ulikuwa wakati wa utawala wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Dola moja kuwanayo inaweza kukusababishia matatizo makubwa.
Ahmed Rajab kasubiri hadi abiria wa mwisho katoka.
Hajaniona.
Kawaendea wasafiri wenzangu tumepanda sote ndege kutokea Cairo kama wameniona ndani ya ndege.
Wakamueleza Ahmed Rajab kuwa nimezuiwa Immigration.
Miaka ile tunaingia Uingereza bila visa sasa kipi kitawafanya Uhamiaji wanidake?
Madawa ya kulevya. Hili ndilo jibu la haraka.
Mara Ahmed Rajab anasikia jina lake linatajwa kwenye kipaza sauti anataarifiwa kuwa mgeni wake aliyekuja kumpokea atatoka punde asubiri.
Baada ya kusalimiana Ahmed akaniuliza, ‘’Kulikoni Mohamed mbona umetutia wasiwasi?’’
Rafiki yangu Mohamed Maharage Juma na yeye alikuwa kaja Heathrow kunipokea.
Wakati ule bado alikuwa hajawa Balozi.
Nikawaeleza kuwa walidhani mimi ‘’Mzungu wa Unga’’ na wanasema nilionyesha dalili hizo kwa kusema kuwa nimekuja Uingereza likizo na walipopekua mzigo wangu wakakuta navaa nguo nzuri nzuri za mitindo na vitu vingine vinavyogharimu fedha nyingi.
Fikra waliyokuwanayo Waingereza kuhusu sisi ni kuwa tulikuwa watu wa dhiki kubwa.
Lakini kilichoniokoa ni pale waliposoma shajara yangu.
Waliyosoma yaliwashangaza.
Wakataka kujua kiwango cha elimu yangu.
Hapo ndipo wakaamini kuwa nchi zote zile nilizokuwa nimeingia na kutoka nilifika kwa ajili ya kazi.
Ahmed Rajab akanipangia nyumba Finsbury Park na kunilipia, jirani ya klabu ya mpira ya Arsenal na siku hiyo usiku alipokuwa ananipeleka kupumzika tulikuta vurugu kubwa mtaani kwa sababu Arsenal ilikuwa imeshinda kikombe.
Ahmed Rajab akanikirimu mwisho wa kunikirimu akanijulisha kwa watangazaji wa BBC na watu wengi maarufu katika duru za Watanzania hasa jamii ya Kizanzibari London: Abdulrahman Babu, Mohamed Abubakar, Aisha Yahya, Mohamed Mlamali Adam, Chama Omari Matata, Ali Saleh, Ali Attas, Ali Adnan (huyu siku zote akinyoa kipara), Suluma Kassim kwa kuwataja wachache.
Ahmed Rajab akanichukua kwenye Uradi maarufu uliokuwa ukisomwa nyumbani kwa Msomi Bingwa na Sheikh Mohamed Abubakar.
Ahmed Rajab akanipeleka kwingi kwenye ofisi za majarida maarufu ya London yanayoandika habari za Afrika na kunikutanisha na waandishi wake.
Halikadhalika akiniingiza katika mikutano mingi ambayo yeye alialikwa na akinijulisha kama mwandishi kutoka Tanzania.
Katika hawa namkumbuka Anver Versi wa New African ambae alikuja kuchapa makala zangu nyingi na katika hizo moja ilipata kuwa ‘’Makala ya Mwezi’’makala maalum iliyochapwa na picha ya mwandishi na kupewa kifuta jasho.
Ahmed Rajab akanifikisha hadi kwa Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili Mzee Nelville Halmes (sina hakika ya ‘’spelling’’ ya jina lake) akanifanyia mahojiano ya kazi.
Hiki ni kisa kirefu.
Hakika sikujua kama nilikuwa katika kutihaniwa.
Hadi leo nina picha niko ndani ya studio za BBC Glasgow, Scotland nasoma kipindi nilichoandika mwenyewe, ‘’Barua Kutoka Glasgow.’’
Kipindi hiki nilikuwa naeleza kijiji cha Blantyre Scotland ambacho kiligeuzwa kuwa Makumbusho ya David Livingstone.
Blantyre ndiko alikozaliwa Dr. David Livingstone.
Kote tunakata mitaa ya London kwa miguu au ndani ya treni Ahmed Rajab ananisomesha mambo sikupata kuyajua kamwe.
Ilikuwa tukiwa ofisini kwake Barbican kwenye ofisi za Africa Analysis ndipo hapo mimi nilipokuwa napata darsa kubwa.
Huwezi kuchoka kumsikiliza Ahmed Rajab.
Ilikuwa katika ofisi hii siku aliponipa kazi ya kuandika kuhusu, ‘’Ukimwi na Ukame Afrika,’’ kwa ajili ya gazeti moja ndipo baada ya kusoma makala ile akaniambia kuwa nilikuwa na kipaji kikubwa cha uandishi na yeye angeweza kunipatia kazi katika gazeti lolote pale London.
‘’Lakini Mohamed lazima ujifunze kutumia computer huku watu hawaandiki kwa kalamu.’’
Wakati huo nilikuwa siijui computer.
Yapo mengi.
Mara ya mwisho kukutana na Ahmed Rajab ilikuwa Zanzibar mwaka wa 2023 katika uzinduzi wa kitabu cha Khamis Abdulla Ameir ambacho yeye aliandika dibaji na mimi ndiye nilikipitia mtandaoni na hadharani Zanzibar.
Mimi na mwalimu wangu sote tukakizungumza kitabu hiki: ‘’Maisha Yangu Miaka Minane Ndani ya Baraza la Mapinduzi Khaini au Mhanga wa Mapinduzi?’’
Ahmed Rajab Allah atamlipa kwa wema wake na roho safi isiyokuwa na khiyana.
Hata bila ya kumuomba alikuwa akijua tu kuwa mimi nimepewa kazi ya kukipitia kitabu fulani kuhusu Zanzibar basi ataniandikia au kunipigia simu kunifundisha kuhusu mwandishi mwenyewe ni nani, yukoje na atanieleza yale ambayo nisingeweza kuyapata kokote.
Mara kwa mara nilikuwa kila akinipigia simu nitamuuliza kuhusu kitabu alichokuwa akiandika cha maisha ya Abdallah Kassim Hanga.
Yapo mengi ambayo ni vigumu kuyaeleza yote hapa.
Kasema msemaji, ‘’Ahmed Rajab kaondoka na kalamu yake."
Mwenyezi Mungu ampokee ndugu yetu amsamehe na amtie Firdaus.
Amin.
Click to expand...
Kama utakuwa na makala yake yoyote tafadhali usisite kunigawia niendelee kujifunza toka kwake.Hakika tumepoteza mwalimu wa pekee na mchambuzi mahiri wa masuala mbalimbali duniani kote. Mara kadhaa tulikuwa tukichambua pamoja naye kupitia Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle - DW), kwenye kipindi cha maoni ya meza ya duara.
Pole sana Mzee wangu.Hakika ameacha alama kubwa ,binafsi nilimfahamu kupitia makala mbalimbali.Baadaye nikaja kumfahamu zaidi kupitia machapisho yako.Nimejifunza mengi.Mzee wetu Ahmed Rahabu Upumzike kwa Amani . Ahsante kwa Maisha yako."Heri Maziwa uliyonyonya na tumbo lililokuzaa".Upumzike wa Amani.🙏BURIANI MWALIMU AHMED RAJAB ULITOSOMESHA WENGI VIJANA KWA KALAMU NA SAUTI

Umesehau neno la kumalizia pleaseKama najiona vile nashuka Charring Cross, halafu nasikia ujumbe..."Mind the Gap"
pole sana mzee wangu Hivi Ahmed Rajab alikua anaandika makala kwenye gazeti la Dunia?BURIANI MWALIMU AHMED RAJAB ULITOSOMESHA WENGI VIJANA KWA KALAMU NA SAUTI

Baada ya kusoma makala hii, nimebaini kuwa kizazi cha sasa hatuna waandishi wa habari journalists.BURIANI MWALIMU AHMED RAJAB ULITOSOMESHA WENGI VIJANA KWA KALAMU NA SAUTI

Prof Nyang'oro north caroline ndio alipata matatizo lkn sio tapeli futa upuuzi..Unaongelea kitabu kilichoandikwa na tapeli aliyefukuzwa chuoni baada ya kugundulika alikuwa tapeli aliyejiita msomi wakati ni kihiyo?
Jina la Daudi Mwangosi je?Nashangaa.
Mbona sioni jina la Rostam Aziz wala la Prof. Kighoma Ali Malima?
Kwa yale ambayo mimi nayajua hata bila utafiti wa kuandika kitabu hawa ni watu muhimu katika maisha ya JK.
Kadhi..Hapa katajwa Rostam Azizi
Kighoma Ally Malima na
Mawaziri waislam.
Uzi bila harufu ya udini huwa haukamiliki.
Faana,Jina la Daudi Mwangosi je?
He was a Journalist in IringaFaana,
Mwangosi wa African Association Dodoma katika 1950s?
Faana,He was a Journalist in Iringa
Aliuwawa kwa bomu la kutupwa na serikali ya raisi wako...Faana,
Bahati mbaya simjui.
Ndiyo kwanza leo namsikia.
Akiandika na gazeti lipi?
Huyu Ustadhi bila kutia udini hana raha.Hapa katajwa Rostam Azizi
Kighoma Ally Malima na
Mawaziri waislam.
Uzi bila harufu ya udini huwa haukamiliki.
Faana,
Bahati mbaya simjui.
Ndiyo kwanza leo namsikia.
Akiandika na gazeti lipi?
The book is simply hagiography, not biography, so don't expect much from it.KITABU CHA MAISHA YA JAKAYA MRISHO KIKWETE
Rafiki yangu kanipigia simu kutoka duka la vitabu la Mkuki na Nyota, Samora Avenue ananitaarifu kuwa kipo kitabu cha maisha ya Jakaya Mrisho Kikwete.
Nimeshtuka tena sana kwani kitabu hiki nimekisubiri kwa hamu kwa miaka toka niliposikia kuwa kinaandikwa kitabu cha maisha yake.
Kitabu hiki kimeandikwa na Julius E. Nyang’oro.
Haraka nimekifungua na kutazama yaliyomo mwanzo wa kitabu kisha nimeruka hadi mwisho wa kitabu kuangalia faharasha.
Nimeangalia mwanzo wa kitabu na kukuta Sura ya Nne inayoeleza alivyogombea Urais wa Tanzania mwaka wa 1995.
Haukupita muda nikawa nimemaliza sura hii lakini sura imeniacha na maswali mengi kupita kiasi.
Naendelea kusoma sura za mbele.
Imekuwaje?
Najiuliza.
Nikarejea tena kwenye faharasha nasoma majina ya wote ambao mwandishi kawataja katika kitabu cha JK.
Nashangaa.
Mbona sioni jina la Rostam Aziz wala la Prof. Kighoma Ali Malima?
Kwa yale ambayo mimi nayajua hata bila utafiti wa kuandika kitabu hawa ni watu muhimu katika maisha ya JK.
Kwa wafatiliaji wa siasa za Tanzania miaka ile ya utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 1995 watatambua kuwa siasa zilikuwa moto sana nchi nzima.
JK hakupita Dodoma na hii ni historia ya peke yake.
JK aliporejea Dodoma 2005 kugombea urais alikuwa na timu kali sana ya vijana maarufu kwa jina la ‘’Wanamtandao.’’
Hawa hawakujitokeza hadharani lakini wakifahamika kwa uwezo wao wa fikra na halikadhalika kwa uwezo wao wa fedha.
Kuwajua hawa ilibidi lazima mtu uwe na sikio lako ardhini, ‘’An ear to the ground.’’
Bila hivi utabakia na jina la ‘’Wanamtandao,’’ peke yake.
Inasemekana Wanamtandao walitanda nchi nzima na wote walikuwa na simu za mkononi kwa mawasiliano ya haraka na ya uhakika.
Mwandishi hajawataja hawa na kwa kukosa kuwataja hawa na vishindo vyao mwandishi katoa ladha katika kitabu cha maisha ya JK.
Kitabu hiki hakijamtaja Rostam Aziz wala Prof. Malima.
Uchaguzi wa 1995 ulikuwa na mambo makubwa yaliyowagusa JK na Prof. Malima ambayo kwa hakika si ya kuachwa kuelezwa katika kitabu hiki.
Kipindi cha wagombea urais wa CCM walipokuwa wanajitayarisha kwenda Dodoma kuchukua fomu magazeti yaliandika kuwa Waislam wanafanya kampeni ya kuchagua Rais Muislam katika Uchaguzi wa 1995.
Kitabu kingenoga sana endapo mwandishi angepita huko na kueleza haya na kutufunulia ni nani walikuwa wahusika wakuu wa propaganda hii na nini ilikuwa nia yao?
Mawaziri Waislam katika Baraza la Mawaziri la Rais Ali Hassan Mwinyi walijikuta katika hali ngumu sana.
Ndani ya Bunge propaganda hii ilishika kasi kiasi wale mawaziri Waislam ambao magazeti yaliwataja kuwa wanaweza kuwa wagombea urais ilibidi wasimame ndani ya Bunge kudai kuwa wao hawana nia ya kugombea urais.
Hapa ndipo anapoingia Prof. Malima.
Prof. Malima alikataa kuorodhesha jina lake.
Jina lake halikuwa katika orodha ya mawaziri Waislam waliosema kuwa hawana nia ya kugombea urais halikadhalika saini yake haikuwako.
JK jina na saini yake vilikuwako.
Yako mengi katika uchaguzi huu ambao endapo mwandishi angeyaandika kitabu hiki cha maisha ya JK kingetia fora.
Lakini juu haya kitabu hiki ni kizuri na si cha kukosa mtu kukisoma.
Msomaji atakifaidi kitabu hiki endapo atahangaisha bongo lake kuangalia siasa za Tanzania zilivyokuwa huko nyuma na kufananisha na hali ilivyo hivi sasa.
Je, kuna kitu viongozi wetu katika ngazi za juu wamejifunza kuwafanya wawe viongozi bora na makini zaidi katika kuuendea Urais wa Tanzania?
Hitimisho
Nilidhani hiki ni kitabu cha JK ambacho nilichokuwa nakisubiri kwa muda mrefu.
Msomaji mmoja kaniandikia kuniambia hiki sicho.
Nakipekua nakuta kitabu kimechapwa 2011.
Kinachonishangaza ni kuwa imekuwaje kitabu hiki sikupata kukisikia miaka yote hadi hii leo?
https://jamii.app/JFUserGuide youJK ingependeza sana kama angetawala hii nchi mpaka umauti wake
Mkuu kiranga kama utakuwa na soft copy ya kitabu cha in the name of the presidentThe book is simply hagiography, not biography, so don't expect much from it.
Umesoma cha Eric Kabendera "In The Name of The President : Memoirs Of A Jailed Journalist" ?
Vipi cha Edward Moringe Sokoine?
Faana,![]()
Daudi Mwangosi - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Mtafute Lucas Noni karani wa Ofisi Ya Rais Mstaafu Soga Bwai atakueleza kilichopo.Kamshawishi
SawaMtafute Lucas Noni karani wa Ofisi Ya Rais Mstaafu Soga Bwai atakueleza kilichopo.