Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
DSM, 3 Julai, 2024.
_________________
Mhe. Doto Mashaka Biteko (Mb), Naibu Waziri Mkuu wa JMT🇹🇿 na Waziri wa Nishati, amezindua kitabu cha "Mmomonyoko wa Maadili, Nani alaumiwe" kilichoandikwa na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Mhe. Dkt. Abubakar Zuberi.
Uzinduzi huo umefanyika Julai 03, 2024 jijini Dar ES Salaam, Kinondoni kwenye makao makuu ya BAKWATA.
Tafadhali tembelea Makao Makuu ya BAKWATA au wasiliana nao ujipatie nakala yako Ili, ikusaidie wewe na familia yako kupata mawaidha na maarifa ya kupambana kudhibiti mmomonyoko wa maadili janga ambalo hivi sasa linatishia maendeleo na ustawi wa jamii hasa watoto na vijana.
Picha ni matukio mbalimbali katika uzinduzi huo.
@maendeleoyajamii