kitabu cha morals and dogma by A.Pike

emperor mo

Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
41
Reaction score
6
habari zenu,
ningependa kufahamu wangapi wameshakisoma hicho kitabu na walitumia mbinu gani kukielewa na waliokota nini humo,Mimi ninayo copy yangu Ila inaniwia ngumu sana kuelelewa
 
page 740, hata kuanza naona uvivu...
 
habari zenu,
ningependa kufahamu wangapi wameshakisoma hicho kitabu na walitumia mbinu gani kukielewa na waliokota nini humo,Mimi ninayo copy yangu Ila inaniwia ngumu sana kuelelewa
soma kitabu kinaitwa Secrets, origin of the bible by Callahan, kabbalah, Book of Enoch, na The secret teaching of all ages, The prince of the world. kisha u-intagrate idea ndio utaelewa kile Albert PIKE anasema. kama ufahamu wako upo kwenye Bibilia ya ukristo na uislamu tu, ni wazi hutaelewa chochote hapa
 
ivyo vingine navipataje mkuu,mana hata hichi cha pike chenyewe kukipatani mbinde
 
Hiki kitabu cha Morals and Dogma,ninacho hapa lakini naona uvivu kukisoma. Hata sijui kwa nini unasema unashindwa kukielewa.Ah,hukusoma History. Mambo yanayozungumziwa mule ni historia ya ulaya. Hawa Freemasons kazi yao ni nini? Kazi yao ni kupindua serikali. Kwa hiyo wakitoa maoni,wanatafuta ushahidi kwa kutazama what happenned in history. Lakini Freemasonry is important. Kwa mfano,Washington D.C. imejengwa kwa ramani ambayo imechorwa na Freemasons,yaani arrangements za where to put Capitol Hill and The White House,mambo yote yamepangwa kutokana na Freemasonic symbols.
But this Albert Pike was just a degenerate person......

Albert Pike nadhani ndiyo aliyesema,kwamba ,alikuwa mwanajeshi huyu,alisema,world war one will be fought to establish the zionist state,world war two will be fought by fascists against socialists,world war three will be fought between the Jews and The Arabs,and that is how One World Government will be established.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…