Hiki kitabu cha Morals and Dogma,ninacho hapa lakini naona uvivu kukisoma. Hata sijui kwa nini unasema unashindwa kukielewa.Ah,hukusoma History. Mambo yanayozungumziwa mule ni historia ya ulaya. Hawa Freemasons kazi yao ni nini? Kazi yao ni kupindua serikali. Kwa hiyo wakitoa maoni,wanatafuta ushahidi kwa kutazama what happenned in history. Lakini Freemasonry is important. Kwa mfano,Washington D.C. imejengwa kwa ramani ambayo imechorwa na Freemasons,yaani arrangements za where to put Capitol Hill and The White House,mambo yote yamepangwa kutokana na Freemasonic symbols.
But this Albert Pike was just a degenerate person......
Albert Pike nadhani ndiyo aliyesema,kwamba ,alikuwa mwanajeshi huyu,alisema,world war one will be fought to establish the zionist state,world war two will be fought by fascists against socialists,world war three will be fought between the Jews and The Arabs,and that is how One World Government will be established.