Kitabu cha Mussa Membar Aliyeteka Ndege ya ATC HADI London 1982

Kitabu cha Mussa Membar Aliyeteka Ndege ya ATC HADI London 1982

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
KITABU KINACHOMUELEZA MUSSA MEMBAR ALIYETEKA NDEGE YA ATC HADI LONDON 1982

Kuna vitabu na vitabu.
Kuna kitabu na kitabu.

Kitabu hiki kinaitwa "The Activist A Story of Hijacking and Struggle for Justice.''

Mwandishi wa kitabu hiki ni Abbas Membar mdogo wake Mussa Member (Pichani chini).

Mussa Membar sasa ni marehemu alifariki mwaka wa 1991 baada ya kurejea nchini kutoka uhamishoni Uingereza alikofungwa kwa kosa la utekaji ndege na baada ya kutumikia kifungo alibaki Uingereza alikoomba hifadhi.

Kitabu hiki kina mengi ya kusisimua hasa kwa wale ambao hawakuwepo katika Tanzania ya miaka ya 1970.

Hii ilikuwa miaka ya changamoto na mitihani mingi nchi ikipitia kila aina ya misukosuko hadi kuingia vitani.

Hali hii iliibua fikra nyingi na wakati mwingine vitendo vya kuogofya lakini vilikabiliwa bila kuleta madhara.

Yako yanayofahamika mengine yamepita kimya na kwa salama.

Hili la utekaji ndege lilikuwa tukio kubwa na Tanzania kama nchi kwa kiasi fulani ilifedheheka.

Kitabu hiki kinaeleza kisa hiki cha Mussa Membar na wenzake kuteka ndege na sababu zilizomfanya afanye kitendo kile cha hatari.

Kitabu hiki kinapatikana Tanzania Publishing House (TPH) Samora Avenue na halikadhalika maduka ya Ibn Hazm.
 
Mzee Mo
Mbona hakuna kitabu wala picha zao?
Au umesahau kuambatanisha!
 
Anaonekana ni mtunzi mzuri

Sea​

Front Cover

Abbas Membar
Abbas Membar, 2025 M05 30 - 462 pages
Embark on an extraordinary adventure with Abbas S. Membar as he chronicles his life's journey---from a vibrant taxi driver in Dare es Salaam to a sailor braving the world's seas. Set against the backdrop of the 1980s, this memoir vividly portrays the trials and triumphs of being a person of African origin navigating Europe, grappling with the cultural barriers in Italy, Greece, and Holland, and enduring the perils of life at sea. Amid storms, accidents, and encounters with friends and foes, Abbas offers an intimate glimpse into his love life and his reflections on the social, economy, and political landscapes of the continents he traversed---Africa, Europe, Asia, and South America. Written in third person, this groundbreaking memoir combines authenticity with heartfelt storytelling, making it a compelling read.
 
Nimekiona, nitakisoma

In the summer of 1990, Tanzania stood at a crossroads in its quest for democracy. Mussa Membar, once at the center of a dramatic flight hijacking that gripped the world for 36 hours, returns from exile with a bold plan to energize the democratic movement. His return, however, takes a perilous turn when he was arrested under mysterious circumstances at the Namanga Border. Separated from allies and accused of treason, Mussa's struggle unfolds in the shadowy confines of Ukonga Prison. As letters smuggled from his cell reveal the harrowing details of his fight for justice, his family and comrades race against time to uncover the truth. Will Mussa's vision for a democratic Tanzania survive against insurmountable odds? The Activist is a riveting tale of courage, sacrifice, and the unyielding quest for freedom that will leave readers inspired and on the edge of their seats.


IMG_2025.jpeg
 
Back
Top Bottom